Dc wa Igunga anaitaji apakwe mafuta ya roho mtakatifu kwa kweli

Kitendo cha huyu mama kuitwa msilamu wakati mkristo
kwa kweli ni cha kujiaibisha na hivyo anaitajika kupakwa mafuta ya roho mtakatifu
ili aendelee kuishi na mumewe vinginevyo aitajiki kuendelea kula unyumba wa mumewe
alie mkristo kwa kuukana ukristo..binafsi angekuwa mke wangu kabla ya kurudi nyumbani
namtunuku barua aaende kwa wazazi wake akaseme yeye ni mristo ama msilamu kaabla ya kuendelea
kula unyumba wangu...na ni mjanja sasa sanasana kma mmeona amekaa kimya kabisa

pili hili ni kwa waislamu wenzangu
embu muombeni rohomtakatifu awafungue sio kila kitu cha kukurupuka ama kupapatikia vinginevyo
chongo ..mlijua huyo mama msilamu??mlivyoona mtandio mkajua mngangane na hoja ya hijabu
unajua sisemi wote lakini viongozi wa bakwata wanaitaji kusikiliza usemi wa mwinyi na juzi kikwete
watu wameanzisha shule za miaka miwili jamani tunaweza kusoma kimya kimya hata ukifaulu kama utaki
kuvishwa taji kamwale watoto unakaa nyumban...kwa akili kabisa wanaenda kuitisha mkutano loh
akili ni nywele kweli..ndio maana wanazificha na mtandio

Tunako elekea BAKWATA litakuwa genge la wahuni
Waislamu kemeeni hii tabia ya viongozi wenu kwa kununuliwa kwa buku 10.
 
Halafu utasikia Ndugu zetu wakisema wanadhulumiwa, wanadharauliwa! hivi walichofanya hawa bakwata kama sio kuudhalilisha uislamu ndio nini? hivi mtandio na hijab ni sawa? hivi masista wanavaa hijab au mtandio? kwani mhalifu akikutwa anatenda kosa akiwa amevaa kanzu au baraghashia au ile kola ya mapaster, asikamatwe kwakuwa tu amevaa vazi la dini! Hivi dini ni vazi au matendo ya mtu? kwani huyu mama alikamatwa msikitini akiswali bandugu zangu? Watu watakubali kufikiri kwa utumbo na masaburi hadi lini?
 
Back
Top Bottom