DC ngorongoro ana kazi

Kiroroma

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
370
114
Ukizungumzia Loliondo ,Kwa Babu, Semunge kisha ukaangalia afya za viongozi WETU wote kuanzia maDC,RC,Wabunge,Mawaziri,Top Five, na wengine wengine,TISS,IGP,PCCB na wengine na wengine basi wote hao ni wageni wa DC wa Ngorongoro.Kazi yake kwa kipindi hiki siyo kujenga Taifa tena bali kujenga afya za viongozi wetu waendao Samunge kupata kikombe kwa Babu!!.Kila kukicha DC anapokea simu kibao nani anakuja LINI nani anatuma mkewe,shemejiye ,mama/BABA mkwe,shangazi,mjomba nk basi aweze ku take care yao!!! TANZANIA ITAJENGWA NA WENYE MOYO. BIG UP DC !!!!:A S clock:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom