MD25
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 3,074
- 1,018
Hiyo ni kali
Mkuu hiyo Avata yako inatisha...
Hiyo ni kali
Kwa kawaida madc ni wenyeviti wa kamati zote za siasa za ccm wilaya,kw hyo dc ni lazima awe mwana ccm,ni hli ni jambo la hatari kwani awezi kuwa fair.
ujumbe uwafikie kina wariobahuu bado ni ule mfumo wa chama kimoja. katiba mpya will tkae care of this, I hope.
Mkuu wa wilaya ya misenyi,Kanali mstaafu Isa Njiku,amechanganyikiwa baada ya kuitisha mkutano na wananchi wa kata Kyaka na kuwachimba ni kwanini waliichagua Chadema ktk kijiji cha bulfani mwezi uliopita,na kuwaeleza kuwa wamefanya kosa kubwa kutoichagua CCM,baada ya maelezo hyo wananchi walianza kumzomea.ndipo akampatia nafac ya kuzungumza Mh.mbunge(asumpta) bla kujua akaanza kumwaga sera CCM wananchi wakaanza naye kumzomea.inshort CCM HAWANA LAO MISENYI.M4C.
Nguvu ya Umma inaambatana na Nguvu za Mungu,M4C inazaa matundaHuyo DC atakuwa ana ndoto kama za bosi wake Nape ya kwamba "ccm ni imara na itatawala milele"