DC Makonda abanwa Kortini leo

Kq
Mpumbavu na mjinga sio matusi. Precedent ya sugu vs republic(pinda) ipo kama stare decisis et non quieta movere.

Kama mpumbavu na mjinga ni matusi, basi Mkapa akafunguliwe jalada LA kesi. Maaan kipindi cha kampeni za uraisi Mwaka Jana pale Jangwani alitukana wafuasi wa ukawa kuwa ni wapumbavu na malofa.
Ikumbukwe Mkapa hana kinga kwa makosa anayoyafanya sasa. Katiba inamlinda kwa makosa aliyo yafanya akiwa rais....haya ndiyo hawezi kushitakiwa akiwa madarakani ama hata akitoka madarakani
 
kuandika habari ki ujinga ujinga kiasi hiki ni kuishusha hadhi jf.. Habari imeandikwa utafikiri mwandishi hakuwa na ufahamu juu ya uandishi... Hakuna Swali gumu lolote kati ya Hayo yaliyoulizwa na Kibatala na kwa kuonyesha kwamba umekurupuka mpaka jina la wakili wenu hamjui linavyoandikwa.
 
Ninaimani kubwa sana na Kibatala,

Lakini kesi hii ilipaswa apewe Wakili Nyaronyo Kicheere (nadhani sijakosea kina) Angempelekapeleka Makonda mpaka angejuta kulianzisha na Kubenea

Anyway si mbaya, nimeziona jasho kwa mbali kwenye meno!!!

BACK TANGANYIKA
 
Rolya???

SI ATAACHA KAZI.

HUKO HAKUNA UJINGA UJINGA.

TENA ATAPIGWA NA BINTI-MTOTO WA DARASA LA PILI.
Ndiyo dawa yake huyo maana anajifanya jeuri sana, haiwezekani mtoto mdogo uwavunjie heshima walio kuzidi
 
Yote aliyoyase
PAUL Makonda, Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, amebanwa kwa maswali kutoka kwa Wakili Peter Kibatara anayemtetea mteja wake Saed Kubenea. Anaandika Happyness Lidwino.

Makonda amebanwa kwa maswali na wakili huyo kutokana na ushahidi alioeleza mbele ya mahakama kuhusu kesi yake ya madai aliyoifungua tarehe 15 Desemba mwaka jana dhidi ya Kubenea ambaye ni Mbunge wa Ubungo.

Ikiwa ni siku ya Makonda kujitetea, Wakili Kibatara alimuhoji kwanini aliamua kupeleka kesi hii mahakamani?, Makonda alishindwa kujibu.

Baada ya Makonda kushindwa kujibu, hakimu anayesimamia kesi hiyo Thomas Simba alimweleza Wakili Kibatara aulize swali la pili.

Wakili Kibatara alimuuliza Makonda kwamba alichukua muda gani kwenda katika gari yake baada ya Kubenea kuanza kumtolewa lugha za matusi?

Makonda aliieleza mahakama kwamba, alitumia muda wa dakika 15, Wakili Kibarata alimuhoji kwamba, je katika dakika hizo hakujibu matusi kutoka kwa Kubenea?

Makonda alijibu kwamba, katika muda huo hakumjibu chochote Kubenea. Wakili Kibatara alihoji kwamba inawezekanaje katika dakika zote 15 Makonda asizungumze chochote.

Hata hivyo, hakimu alimtaka Wakili Kibatara kuuliza swali lingine ambapo aliuliza je polisi waliokuwa katika eneo la tukio walichukua hatua gani?

Makonda alisema, polisi walichukua hatua ya kumkamata Kubenea baada ya Kubenea kuendelea kutoalugha ya matusi.

Na hata alipoulizwa aliyetoa amri ya kumkamata Kubenea, Makonda alikana na kudai si yeye isipokuwa polisi ndio walimkamata.

Wakili Kibatara alimuuliza Makonda, “Je, unayajua majukumu ya Mbunge? Je ulijibizana na Kubenea eneo la tukio?

Je, unajua ni vigezo gani vilitumika kukuchagua kuwa Mkuu wa Wilaya? Je unafahamu maana ya neno mjinga na mpumbavu?

Maswali hayo ya mtego yalionekana kumpandisha hasira Makonda kutokana na majibu yake kuwa mafupi na kutomridhisha wakili.

Hata hivyo, hakimu aliingilia kati na kumtaka wakili kubadilisha namna ya kuuliza maswali hayo. Hata Wakili Kibatara baada ya kushauriwa na hakimu kubadilisha maswali, aliieleza mahakama kwamba amemaliza.

Makonda alifika mahakamani hapo leo kutoa ushahidi wake huku akifuatiwa na shaidi wake ambaye ni Askali Dc Gabriel mwenye namba F4829 kutoka katika Kituo cha Magomeni.

Makonda alifungua kesi hiyo tarehe 15 Desemba mwaka jana ikiwa ni siku moja baada ya Makonda kuagiza askari wa Jeshi la Polisi kumkamata mbunge huyo kwa madai ya kushindwa kutii agizo lake kama Mkuu wa Wilaya.

Tukio la kukamatwa Kubenea lilitekelezwa Tarehe 14 Desemba mwaka jana jijini Dar es Salaam, baada ya viongozi hao kukutana katika mgogoro wa wafanyakazi wa Kiwanda cha nguo cha Tooku Tanzania.

Kwenye mahakama hiyo, Makonda amefungua madai matatu dhidi ya Kubenea ambayo ni lugha ya matusi, kuitwa mpumbavu, mjinga pamoja na cheo cha kupewa.

Chanzo; Mwanahalisi online
Kubenea hakukosea hata kidogo kumueleza ukweli huyo shoe shinner
 
SIJAONA MASWALI MAGUMU HAPO...?

HUYU MWANDISHI WA MWANAHALISI ASITUZINGUE!! HAKUNA MASWALI MAGUMU HAPO
 
Samahani mtoa mada huyu Makonda ndiyo yule aliyemchapa makofu mzee Warioba?
Alipomchapa makofi mzee Warioba aliamua kumsamehe na baadaye alipo on a anaulizwa sana na vyombo vya habari kama atamchukulia Makonda hatua za kisheria, mzee Warioba aliamua kukanusha kuwa hajapigwa makofi.
Ikiwa mm sikuridhika na maamuzi ya mzee Warioba kumsamehe Makonda, naruhusiwa kufungua kesi? Wanasheria mnisaidie kwa hili. Nataka Makonda afunguliwe kesi ya kumpiga makofi mzee Warioba.
watu wanazungumza mambo ya maana wewe unaleta hoja zako za kipumbaf na kilofa. hebu mbadilike fikra zenu.
 
mkuu wa wilaya boya niliewahi kumuona linapenda publicity kwenye media uchwara wakati halina hata personality ya kuonekana kwenue media afu ukikaa mbele yake kumskiza akizungumza inabidi uwe na mwavuli maana bila hivo utalowa mate uso mzima.
 
Mahakamani pagumu hasa kujibu maswali, kufungua kesi paspo kuwa na ushahid kamili ni shida kubwa. Mfano meli ya samaki wa Magufuli pia gazeti lilo fungiwa paspo utaratibu now wahuska wanatakiwa walipwe fidia. Kwa hyo tuachen utan kwenye suala muhimu.
Ikiwa ni siku ya makonda kujitetea nani anapaswa kujitetea mahakamani mlalamikaji au mtuhumiwa maana naona umetuletea pumba tu hapa.ungepaswa kusema Leo ilikuwa ni siku ya ushahidi ambapo mlalamikaji ametoa ushahidi wake mahkamani kuhusu kesi Flani.
 
Back
Top Bottom