DC kachakachua jina la Yatima

Je tutafika?

  • yes

    Votes: 1 14.3%
  • No

    Votes: 6 85.7%

  • Total voters
    7
  • Poll closed .

Msichoke

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
569
400
Philimon Shelutete Dc wa Geita anatuhumiwa na Baraza la Madiwani wa halmashauri ya Geita kwa kuchakachua nafasi za ufadhili wa masomo kwa ajili ya watoto wanaoishi mazingira magumu zinazotolewa na kampuni ya Mgodi wa Geita na kuweka jina la mtoto wake.Je tutafika kwa stahili hii?
 
Philimon Shelutete DC wa Geita anatuhumiwa na Baraza la madiwani wa halmashauri hiyo kwa kuchakachua nafasi ya ufadhili wa masomo kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu inayotolewa na kampuni ya mgodi wa Geita.alichokifanya DC huyo ni kupachika jina la mtoto wake Robert Shelutete hili asaidiwe!je tutafika kwa stahili hii?
 
CCM wamesha zoea laana na kulaumiwa hawana haya hata kidogo .Huku posho huku dhuluma hadi kwa yatima ? Haya JK na mzigo wako .
 
Ndiyo 'magamba' ya CCM hayo. Wakifanikiwa kuyavua yote watabaki skeleton maana hakuna hauweni zaidi ya mwenzie.
 
Kaaaazi kweli kweli. By the way nimesikia ma DC wengi ni masikini kuliko tunavyodhani. Kama ikitokea unaulizwa je nukupatie u-DC au Ukurugenzi wa Wilaya, ngd. kimbilia ukurugenzi. DC hana fungu na muda mwingi ni omba omba kwa mkurugenzi wa halmashauri
 
Ukiangalia shule nyingi za kuendeleza yatima lazima hawa nao wamo. cheki vijiji vya SOS kama utawakosa watoto wa hawa mabeberu weusi
 
Back
Top Bottom