DC aangua kilio kikaoni, pata tukio zima katika picha

Aisee,
Kumbe bado kuna wenye uchungu na hii inji!
Kama kweli analilia utendaji mbovu kutoka moyoni basi Mungu ambariki sana, na awapige kiboko hao walioharibu kazi ya utumishi wa umma.

Sasa kama kweli ameguswa baada ya kulia.... what next? Tunataka tuone maamuzi yake kama DC!!!

Haya maingizo ya riz yanachekesha sana!!! Unalia ili iweje, kiongozi ukilia na wananchi wafanyaje... cheap politicians...
 
Analia kwa sababu ya kuwahurumia wanankasi au nikwavile amekosa ulaji alioutegemea?.tangu lini makada ccm wakawa na uchungu na wananchi?.
 
nikweli mkuu kwanikwa jinsi anavyoonekana, we acha tu...hivi bosi wao haoni au hat kutekeleza as per wana nchi wanavyodai kama si DC?
 
kiongozi akilia mwananch wa kawaida afanye nini? Inaweza ikawa inauma lakini tunahitaji matendo mpige chini huyo mkurugenzi ingawa sidhani kama una madaraka hayo! Maana nakumbuka 'liwalo na liwe' ashawah kumfukuza kazi mkurugenzi wa bagamoyo mmh yalitaka kumtokea puani!
 
Chukua hatua acha kulalama na kulia...mwizi anaogopa hatua kali sio kilio!
 
Jinga hilo halina jipya linamlilia nani sasa badala ya kutoa maamuzi magumu aachie kiti wachukue wenye uwezo wa kutoa maamuzi na sio kulia.
 
Hicho kikao kimafanyikia bafuni au? maana hizo tiles sio za kwenye chumba cha mkutano na jinsi zilivyojengwa kama bafuni au chooni vile. Sorry kwa maneno magumu

Bafuni wameweka na picha ya mheshimiwa dr rais!!!!!!!!!!
 
Aisee,
Kumbe bado kuna wenye uchungu na hii inji!
Kama kweli analilia utendaji mbovu kutoka moyoni basi Mungu ambariki sana, na awapige kiboko hao walioharibu kazi ya utumishi wa umma.

thubutu yake kama hajipendi amfukuze aone jeuri ya riz1...
 
Yaani Djibaba lizima ana liaa? Sasa kulia itasaidia nini kwamtumzima? Je kunaatakaye mbembeleza?

Niupumbafumkubwa wewe umepewa madaraka halafubadala yakuyafanyia kazi eti unalia

Kiongozimzuri niyule anayetafuta solution na siokuli
Siajabu hapa alilia na baadaekikao kikafunwa bila hatua yeyetokuchukuliwa

Ningekua nimini nimemwajiri nahuyo anayelia na aliefanya kosa wote nawangoa

Timiza wajibu wako killakitu anacho kwanini alie?
 
Huu ni usanii. Anatufanyia viinimacho amatufanya ss watoto wadogo sio. Hapa nadhani atkuwa amekumbuka matatizp yanayomkabili kwake na mkewe anajifanya anauchungu na nchi hii. Acha usanii ww mwanaccm. Mazafanta!
 
Hahaha! Chooni wameweka picha ya rais wako ili ashuhudie wayafanyayo eeh?

Hayo ni machozi ya mamba! It is very unprofessional kuangua kilio kazini. And after that you should apologise profusely! Huo nao ni udhaifu tu hana tofauti na boss wake! Afadhali JK anaecheka akizidiwa yaishe! Anamlilia mkewe hapo, badala ya kuchukua hatua!
Hicho kikao kimafanyikia bafuni au? maana hizo tiles sio za kwenye chumba cha mkutano na jinsi zilivyojengwa kama bafuni au chooni vile. Sorry kwa maneno magumu
 
Inaonekana ukiishi sumbawanga unapoteza uwezo wa kufanya kazi na kutatua matatizo kwa kutumia logic, unatumia intuition. hili alilianza pinda mwenyewe kulia badala ya kujenga hoja. sasa jibaba na tai yake analia nini hapo, huo ni usaniii tu
 
Back
Top Bottom