Dazi Pozi Amerudi Tena na Nguvu Mpya sasa!!A

dazipozi

JF-Expert Member
Nov 5, 2011
1,137
106
Mambo vipi wakubwa na Wadogo na wale saizi ya Kati,Dah!kama dizaini kama kitambo sijaonekana humu Ndani kama miezi kazaa hivi nilikuwa Zanzibar japo kuna watu wengine walizani mimi ni Mzenji Nimesepa kule kutokana na chokochoko za Wazenji kutaka Nchi yao.Nikaona isiwe TABU nika Amuwa kurudi Home kwetu nikae kwa Amani kabisa.Ila ilo sio la Msingi mimi kurudi Tena kwenye Mjengo wa JF kama zamani na kupeana madini ya kutosha kama zamani najua kuna Member wapya wa kutosha na wale wenye Account sita sita Jf big up kwenu.Nilikuwa kimya kwa sababu ya maisha yamekuwa juu kwa hiyi mtu inakubidi ufanye kazi kwa Nguvu zote ili upate chochote mwisho wa siku Chit-Chat ndo home ndo sehemu ninayoipenda sanaaaaaaaaaa paka basi.Sina mengiiiiiii sanaaaaaaaaa ila nili wa miss na nimerudi tena kama kawaaaaaaaaaaaaa i love uuuuuuuuuu#NoHome yule yule DaziPozi,.............Mx
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom