Days of Our Lives!

X-PASTER

JF-Expert Member
Feb 12, 2007
11,610
1,810
Days of Our Lives

"Like sands through the hourglass, so are the days of our lives."
 
Last edited by a moderator:
Hii tamthlia ya siku nyingi. Nakumbuka kuiangalia sana mwaka 1998 na ilikuwa haiishi. Hivi bado stori inaendelea tu? Kama kweli basi huu ni utungaji wa aina yake kuweza kudumisha hii wanaoita 'soap opera' kwa zaidi ya miaka 10.
 
Mkuu, Days of Our Lives kimeanza November 8, 1965, na bado kinaendelea.

Kuna vipindi vya soap opera ambavyo ni vya muda mrefu, kikiwemo The Guiding Light ambacho kimeanzishwa mwaka 1952, As the World Turns mwaka 1956, General Hospital mwaka 1963, One Life to Live mwaka 1968, All My Children mwaka 1970, The Young and the Restless mwaka 1973. Hivi vipindi vyote bado vinaendelea mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom