Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,999
- 24,162
sijawahi kuwa mtu wa usiku so to speak, hata sasa ukiniona maini yangu ya under 14, japo mifupa iko 40's lol
Heri mie uzee naupiga vita kwa mapanga na sime! Ndo kwanzaa nataka kuoga nitoke. To be old is a choice, to grow up is optional.