Nilikuwa naamini JK ni shujaa, mchapakazi, lakini matukio ya dawa za vikombe yanayoendelea nchini ni ishara kwamba hatuna strong central government.
Moja ya jukumu la serikali ni kuhakikisha Taifa linakuwa na afya bora, lakini matukio ya hivi karibuni yanaonesha serikali ya CCM haijali maslahi ya WTZ. Wananchi wanakufa kwa sababu ya ushirikina na ujinga uliopo miongoni mwa WTZ wengi. Wenzetu (develop countries) walipoanza kuadvance ktk technology na science, walihakikisha kila dawa au theory inafanyiwa kazi-research kabla ya kupewa ruhusa ya kuuzwa au kutangazwa ktk public level.
Si walaumu WTZ, najua hawana choice ya kufanya, lakini serikali ya CCM inabidi ishitakiwe kwenye international court kwa mauaji yanayofanyika.
May Allah bless TZ.