Ni dawa gani ya usingizi wanayoitumia wezi kupuliza madirishani?

Hawa ndo wa kazi wa dar wanajadili kwenye mitandao tu
please usituharibie mada eee , kama huna cha kuchangia nenda jukwaa la cellebrity kuna mada ya zari Na mange
Tangia niibiwe siku hiyo kila siku nalala na maji chumbani katika beseni na pia tv yangu nakuwa nayo karibu na kitanda na mlango wa chumbani napanga viti kwa nyuma
mkuu unalala umeikumbatia

Imagine unakumbatia Tv nchi 48



Hahahahhaah
 
Mim tarehe 31/12/2015 majira kati ya saa 8 ucku hadi saa 10 ucku, niliibiwa TV Samsung mpya flat 32inch nilinunua jiwe 850,000. Laptob, Samsung DVD Deck, pesa wamenipulizia dawa yao hiyo
 
Kuna mwanajeshi mmoja yeye alikuwa akilala pikipiki yake anaitoa upepo alafu anaimwaga wese lote, sasa siku nahiyo wanyama wakatinga ndani, wakampulizia dawa kama kawaida yao, Walipofika kwenye Honda wakakuta haina upepo, jamaa wakatafuta pump, wakajaza, wakaenda kutafuta mafuta wakaweka, wakaiwasha wakala kona, jamaa asubuhi anaamka anakuta alama za matairi tu, ndio baadhi ya majirani wakasema usiku tulisikia pikipiki ikiwashwa ndani mwako....
hebu vuta picha sasa wameikuta haina upepo wakaenda kutafuta pamp na usiku ni nadra kila mtu kuwa nayo tuseme walitumia masaa 2 kupata pump haya na mafuta kila Petrol station imefungwa wakaenda kwenye pikipiki nyingine wakanyonya zoezi zima masaa kama 5 hivi .


Hawa watu wana moyo na ujasiri.
 
hebu vuta picha sasa wameikuta haina upepo wakaenda kutafuta pamp na usiku ni nadra kila mtu kuwa nayo tuseme walitumia masaa 2 kupata pump haya na mafuta kila Petrol station imefungwa wakaenda kwenye pikipiki nyingine wakanyonya zoezi zima masaa kama 5 hivi .


Hawa watu wana moyo na ujasiri.
Jamaa Wanajiamini sana, ila kunamkasa nitauleta wa mwenzao aloingia chakike akadakwa kizembe...
 
umenikumbusha mwaka 2009 tuliibiwa vitu vyote mpaka nguo zilizotundikwa nyuma ya mlqngo nass tumelala humohumo ndani sikujua mpaka leo walitumia dawa gani kali kiasi kile.... lol
mshikaji wangu walmuibia adi nguo alokuw kavaa akati analala, asubui anashangaa geto kavu afu pamba alotupia kbla ya kulala zmebebw, unaambwa mpaka boksa walmbebea et, kibaya zaidi wakampaka whitedent kwe mtalo wa makalio, looh!
 
Mwaka jana hawa jamaa wamefeli kwangu,walikuja wakapga dawa wakafungua mlango wacha waanze kusanya vitu ile wanataka kuchukua simu chini ya mto nilistuka wametoka mbio wote na vitu vyao wameviacha sebuleni wakaenda mikono mitupu
 
kama wanatumia chloroform nakuomba nikupe kazi ukafanye tuprove kama ni yenyewe. Najua panya ukimpiga chloroform anapoteza faham pia, sasa wewe chukua huyo panya au chura mweke kwenye box kubwa kiasi kumtosha yeye na kikopo cha maji kikubwa cha kutosha kilichowazi kwa juu then funga box lako na puliza hiyo chloroform na baada ya muda ambao unatarajia kuwa panya/chura atakuwa usingizini fungua na tupe mrejesho kama utakuwa macho au usingizini.

Mkuu Chloroform ni denser kuliko maji uki-mix chloroform itakwenda chini na maji kuja juu hivyo chloroform aitapenya kuja juu na ku-sedate panya.
 
Salaam jf.

Nilikuwa naomba uzoefu wenu wana jf, hasa katika hizi dawa wa wanazotumia wezi kuwaibia raia wema kuwapulizia madirishani wakati wa usiku wanapolala, kwanza nilikuwa nataka kufahamu jina lake na pili wapi wanapozipata lengo si kwa ajiri ya matumizi binafsi lengo ni kufahamu.

Sababu wizi wa kuvunjiwa milango na madirisha umekithiri kibaya zaidi wezi wanathubutu kuwaibia walala hoi hadi maafisa wa serikali wenye silaha, juzi kati mh. Fulani ambaye anacheo kikubwa tu serikalini alipigwa vitu vyake vyote sebureni na mwengine kasafishwa sebure yote na watoto wa mjini, akiwemo pia mwanajeshi mstaafu nae alivunjiwa nyumba na wezi kusafisha sebure lakini kabla ya kuiba wezi walikunywa chai iliyokuwa sebureni na kuondoka.

Inavyooshesha hii dawa inawapa kiburi sana, usishangae hadi usalama huwa wanapigwa.
Weka maji karibu na dirisha wakipuliza imekula kwao
 
Mkuu Chloroform ni denser kuliko maji uki-mix chloroform itakwenda chini na maji kuja juu hivyo chloroform aitapenya kuja juu na ku-sedate panya.
Okay, nilitaka apulize tu hiyo chloroform kukiwa na maji around ili tuone kama mnyama atasedate au la kwani hizi pande in case you leave any open container with H-O-H in the house especially nearby your bedroom, the medicine used by those hooligans won't function.
 
28 Reactions
Reply
Back
Top Bottom