Dawa za sh.bilioni 8 zaozea MSD

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
Kamati ya Bunge ya hesabu za mashirika ya Umma imekataa kupitisha hesabu za bohari kuu ya dawa ya serikali(MSD) kutokana na kuharibika kwa dawa zenye thamani ya sh bilion 8.
Source:mwananchi.co.tz

my take:hospitali za serikali zinatakiwa kununua dawa MSD pekee na mara nyingi ukiuliza kwa nini dawa hazipo utaambiwa hata MSD hazipatikani,sasa hii midawa ya bilioni 8 inafanya nini huko?
MSD lazima wapate washindani ili kuondoa ukiritimba.
 
MSD wamefunga kwa sasa wanafanya stock taking, watarudi na majibu mazuri sana subirini:becky:
 
kanyaboa tupu hela waliipa chama cha mafunza kuiba kura na kununua vifaa vya kampen
 
Dawa nyingi za MCD ni dili la wafanyakazi...hawaziuzi bali wanazikwapua wapate chocohote kitu!!
 
Back
Top Bottom