Dawa za minyoo kwa mama mjamzito

paparaz

Member
Jun 3, 2012
30
1
Habari zenu wanaJF. Hivi mama mjamzito anaruhusiwa kumeza dawa za minyoo aina ya Albendazole? madaktari naombeni ushauri wenu.
 
Anaruhusiwa katika wiki ya 28 huwa wanapewa clinic dawa za minyoo na malaria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom