Dawa za kurefusha na kunenepesha uume na njia mbadala

Tafuta dodoki ambalo bado halijakomaa lichanje na wembe alafu uchanje na uume wako kisha chukua majimaji yanayotoka kwenye dodoki upake hapo kwenye uume ulipo pachanja,fanya hivyo pia kwa kuchukua damu ya kwenye uume upake kwenye dodoki. Jinsi dodoki linavyo kua ndio ukubwa wa uume utakuwa.
 
1)Kuana aina ngapi za dawa za kuongeza Uume?
2) Je hapa Tanzania zipo? kama ndiyo zinapatikana wapi?
3) Nini madhara yanayosababishwa na kutumia dawa za kuongeza Uume?
4) Kuna limitation ya kiumri katika kutumia dawa hizo? ua niulize hivi, ni upi umri muafaka wa kutumia dawa hizo?

Nenda kwa Dr. Kamba, alikuwa na ofisi pale Magomeni mteremko wa kuelekea round about ya Kigogo, pale atakupa ushairi, aina ya dawa zilizopo and their efficacy!!!! Pole kama kajogoo kako ni kadogo kama kidole. Hivi nikuuilize ni kafupi unataka karefuke au ni karefu ila ni kembamba na unataka kapate kaunene ili kabane vizuri!!!??? Pole sana maana wenye matatizo hayo huwa very inferior, hawathubutu kutongoza au kuomba!!!!!
 
Tafuta dodoki ambalo bado halijakomaa lichanje na wembe alafu uchanje na uume wako kisha chukua majimaji yanayotoka kwenye dodoki upake hapo kwenye uume ulipo pachanja,fanya hivyo pia kwa kuchukua damu ya kwenye uume upake kwenye dodoki. Jinsi dodoki linavyo kua ndio ukubwa wa uume utakuwa.
Mkuu, nakuona hapo, wakati unatoa ushauri huu umekaa kwenye mkeka mkuukuu na tunguri zimekuzunguka.
Umeshakata leseni mpya baada ya kufutiwa ya mwanzo kwa kashfa ya maalbino? lol!
Na mwenye kutaka kupunguza size atumie nini? Kaaazi kwelikweli.
 
hahahahaha!Maamuma umenichekesha mpaka mbavu zinauma,hahahaha
yani umempatia kichizi!!!
 
Usijaribu kabisa hii kitu. Unaweza kuharibu kila kitu ukabaki unajuta for the rest of your life. Shukuru alichokujalia mungu kama hakuna matatizo basi huhitaji kuhamisha internal organs ili umpendaye asuuzike roho yake.

baeleze baelewe,hakuna kitu kama hiyo dugu,naweza kuwa na dudu dogo kapelekesha manamke paka nasema basi natosa.na hawezi tamani ingine zaidi yako.
 
Mwenzenu wakati akianzisha thread hakusema kuwa anataka kuongeza maumbile yake, wala hakutanabaisha sababu kuu za yeye kuleta hii mada hapa. Labda ni kwa ajili ya rafiki au jamaa yake? Labda anataka kuwa mwanamitindo wa chupi za kiume?

hiyo ni janja ya nyani bana,we unataka aseme live ni yeye ili iweje,hapo tu tayari kishapata jibu la kunyoa ama kusuka ha ha ha ha ha ha !!!!!!!!!
 
Dawa za kunenepesha uume zipo.ni za miti unautafuna pamoja na karanga .lakini ushauri wangu usitumie.rafiki yangu alijaribu kabla ya kumaliza dozi aligundua kuwa anapoteza raha ya tendo lenyewe.nikama umechomwa sindano ya ganzi kwenye uume
 
Mkuu, nakuona hapo, wakati unatoa ushauri huu umekaa kwenye mkeka mkuukuu na tunguri zimekuzunguka.
Umeshakata leseni mpya baada ya kufutiwa ya mwanzo kwa kashfa ya maalbino? lol!

Hizo za mkeka na matunguli za long time, siku hizi tuna clinic za kisasa kuna sofa za kupumzikia wanao subiri huduma huku wakiangalia TV kwenye plasma au LCD 63''. Tunakula bata kinoma hata wateja wetu sio walalahoi kama zamani wewe pitia tu magomeni mwembe chai kwa shekhe.... uangalie gari zinazopaki hapo nje ni Ma Bima, cedes, ML , X6 yaani usitupimie.
Huyo aliyezifungia leseni zetu ndio mteja wangu mkubwa, hata sikumbuki kama nimekata au la lakini hapa ukutani imenining'inia mpya

Na mwenye kutaka kupunguza size atumie nini? Kaaazi kwelikweli

Hiyo kwa sababu wewe ni mtu wangu, nunua mshumaa kisha uchaje uume wako kidogo alafu pakaa damu kwenye huo mshumaa, choma jumanne saa nane mchana huo mshumaa hadi saizi utakayo ona inakufaa kisha zima mshumaa uutupe bahari. TAHADHARI usiache kuutupa kwani mtu mwingine akiuchoma basi na mali yako inakwisha. ONYO: wanawake msitumie njia hii kuwaadhibu wanaume zenu kwani haifanyi kazi kwenye mazingira ya hasira.
 
Umenivunja mbavu kweli kweli !!!
 
Tafuta dodoki ambalo bado halijakomaa lichanje na wembe alafu uchanje na uume wako kisha chukua majimaji yanayotoka kwenye dodoki upake hapo kwenye uume ulipo pachanja,fanya hivyo pia kwa kuchukua damu ya kwenye uume upake kwenye dodoki. Jinsi dodoki linavyo kua ndio ukubwa wa uume utakuwa.

umesahau kutoa onyo kwamba ukisahau dodoki lipo wapi ndo mshebebe wako utakua mpakaurefu wa suruali kwi kwi kwi
 
Ni vizuri kuwa ukijifanyia majaribio hayo uwe tayari kupokea matokeo. If your organ goes limp do not blame anyone.
 
Japo, sishauri watu watumie njia yoyote kuongeza, manake ulichopewa kinatosha, ni namna tu ya kukitumia ndio inahitajika ili kumridhisha mlengwa.

Wanasayansi wa Italia Wavumbua Kifaa cha Kuongeza Urefu wa Uume
Thursday, March 12, 2009 11:01 AM
Wanasayansi wa Italia wamevumbua kifaa kinachosaidia kuongezeka kwa urefu wa uume kwa asilimia 36 hata hivyo wameonya kuwa ni wanaume wachache watakaofanikiwa kuvumilia maumivu makali wakati wa matumizi ya kifaa hicho.

Ufanisi wa kifaa hicho umethibitishwa na jarida la madaktari wa Uingereza la British Journal of Urology International.

Madaktari hao wa Uingereza walisema kwamba kifaa hicho kimeonyesha kuongezeka kwa urefu wa kudumu wa uume na nguvu za kusimama kwa uume kwa asimilia 36.

Hii imekuwa habari njema kwa mamilioni ya wanaume duniani wanaohangaika kutumia madawa mbali mbali kuongeza urefu wa sehemu zao hizo za siri bila mafanikio.

Pamoja na hayo ni wanaume wachache sana watakaoweza kuvumilia maumivu yanayotokana na utumiaji wa kifaa hicho.

Katika wanaume 21 waliofanyiwa majaribio wenye umri wa wastani wa miaka 41 , wanaume watano walishindwa kuendelea na matumizi ya kifaa hicho kutokana na sababu mbali mbali kama vile maumivu makali na kuvimba kwa uume.

Washiriki waliofanyiwa majaribio walivalishwa kifaa hicho ambacho kilivuta na kutanua misuli ya sehemu zao siri kila siku kwa kipindi cha miezi sita.

Akikizungumzia kifaa hicho Dr. Paolo Gontera, kiongozi wa watafiti wa Italia waliogundua kifaa hicho alisema "Kifaa hiki kimeonyesha kuongezeka kwa theluthi moja ya urefu wa uume, haya ni mafanikio mazuri sana, hata hivyo wanaume wengi watashindwa kuvumilia maumivu makali kutokana na kifaa hiki"

Source: http://nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=1389126&&Cat=7
 
umesahau kutoa onyo kwamba ukisahau dodoki lipo wapi ndo mshebebe wako utakua mpakaurefu wa suruali kwi kwi kwi
Kafara, Nimecheka hadi kutoa machozi! Nimemfikiria huyo aliyesahau dodoki. Kama namwona vile. Anatembea kwa taabu, mshebebe umepitiliza. Akiulizwa, anagunaguna tu. Burn naye keshapotea wakati huo. Anaamua kumtafuta Burn kwa kupita mitaani akiwa na picha (ya Burn). Picha aliyonayo ni hiyo avatar yake. Akionyesha picha tu, watu mbiiiiooo!
Burn usitutafutie kesi.
 
kama ulivyosema labda kauliza kwa ajili ya jamaa yake.unapojibu swali ni vema majibu yako yasijifunge katika lile swali tu.ni vema kwenda mbali zaidi na kujibu kwa faida ya wengine pia na si kwa muulizaji tu.

Ni sahihi uliyoyaandika pamoja na uliyemnukuu. Bi sawa na mtafiti anapotafiti haimaanishi kwamba kile anachotafiti kinamhusu yeye binafsi bali ni katika namna tya kujuzana
 
Tafuta dodoki ambalo bado halijakomaa lichanje na wembe alafu uchanje na uume wako kisha chukua majimaji yanayotoka kwenye dodoki upake hapo kwenye uume ulipo pachanja,fanya hivyo pia kwa kuchukua damu ya kwenye uume upake kwenye dodoki. Jinsi dodoki linavyo kua ndio ukubwa wa uume utakuwa.

Hii theory tu au ina scienific proof! Dodoki na uume wapi na wapi jamani.!! mimi simshauri mtu yeyote yule aongeze uume kwani ni kitendo cha risk sana na hakina faida yoyote ile. kwa sababu ili mwanamke afurahie tendo la ndoa haitaji uume mkubwa kwanza utakuwa unamuumiza.
 
Na je, uume uliokwenye standard nzuri ya kumulizisha mwanamke unatakiwa uwe na unene wa inch au centimeter ngapi? Na je huo unene unapimwa wakati gani? Wakati uume ukiwa umesimama au wakati ukiwa umelegea (umelala)?

uume wowote wenye uwezo wa kufikisha robo tatu ya mkono wako toka kiganjani unatosha kummaliza mwanamke;hayo mengine ni uzoefu tu.....na utundu.hakuna kina cha mwanamke chenye uwezowa kutoiheshimu robotatu ya mkono wa mwanaume ....
 
Mkuu, hapo unaongelea unene wa mkono au urefu wake? Na je swali umelielewa linachouliza?
 
Back
Top Bottom