housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,188
hujui ubonge wa Mtu dili huku, naitwa chura mwenzako. sipungui Leo wala keshoNinayo juice ya kupunguza ubonge wa mtu !! hapohapo mie naendelea na mazoezi...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujui ubonge wa Mtu dili huku, naitwa chura mwenzako. sipungui Leo wala keshoNinayo juice ya kupunguza ubonge wa mtu !! hapohapo mie naendelea na mazoezi...
ha ha ha ha .... NO COMMENT !!hujui ubonge wa Mtu dili huku, naitwa chura mwenzako. sipungui Leo wala kesho
Kumbe na wewe ni Andunje generation?Exactly.. ila atapendeza kama ZZ !!!
mie babalao..... !!!Kumbe na wewe ni Andunje generation?
Haya ni mazoez ya mgongo kifua na mikono mkuuukipata nami nishtue mana waluguru sisi tumezidi aisee
Jamani naombeni mnisaidie mahala ninapo weza kupata hizi dawa zinazoweza kumuongezea mwanadamu urefu kama kuna yeyote anae fahamu naomba anijuze