Dawa za kuongeza ukubwa wa mashine kwa wanaume, ni kweli au propaganda??

Research zinaonyesha kuwa, 98% ya wanaume duniani wangeongeza ukubwa wa mashine zao Kama wangejua zinaongezwaje ...!
 
Dawa hizo zipo lakini zina madhala ktk siku za mbeleni, by the way kumlidhisha mwnmk haijalishi saizi ya uume ulio nao isipokuwa ni maujanja yako tu, na uwezo kucheza na akili yake, you may PM me kama unataka ushauri zaidi.

Aisee zina madhara upande upi kwa men tu au kote kote? isije ikawa inatanua then hairudi katika hali yake ya awali eti.
 
hiv alichokisem huyo parachichi ni cha kwel au?,nakam ni kwel atumbie bac zinapopatikan.
 
yani ingekuw vizur san mnyakyusa kam ungetupa contact ambazo zitatusaidia kumpat huyo mzee kadoda.
 
si mchague size inayowatosha?? hayo mambo ya kutumia mkuyati baada ya muda zinakuwa za kupepea mpaka isimame na watoto washaamka.. mwishowe linakuwa mkungu wa ndizi haujawahi kusimama

isije kuwa yale ya bwana harusi siku ya kwanza ya ndoa
Mume: mke wangu nina habari ya kuhuzunisha na kufurahisha
mke: nipe kwanza ya kufurahisha..
Mume:. unana hili dude lina nchi 6
mke: hahahaha ntafaidi kweli haya nipe ya kusikitisha.
Mume Lakini dude hili halisimami mke akazimia pale pale

tutumie original tusitumie vya kubumba....
 
Dawa za kuongeza Uume kuwa mkubwa za mitishamba zipo ila hakuna dawa za kizungu ipo operesheni lakini ni riski kuu unaweza uume wako usifanye tena kazi yaani usisimame kabisa au ipo moja ya Pump ila ina madhara yake. boradawa za mitishamba ndio nzuri kwa mwenye kutaka awasiliane na mimi kwa barua ya Pepe Email yangu hii hapa fewgoodman@hotmail.com
 
si mchague size inayowatosha?? hayo mambo ya kutumia mkuyati baada ya muda zinakuwa za kupepea mpaka isimame na watoto washaamka.. mwishowe linakuwa mkungu wa ndizi haujawahi kusimama

isije kuwa yale ya bwana harusi siku ya kwanza ya ndoa
Mume: mke wangu nina habari ya kuhuzunisha na kufurahisha
mke: nipe kwanza ya kufurahisha..
Mume:. unana hili dude lina nchi 6
mke: hahahaha ntafaidi kweli haya nipe ya kusikitisha.
Mume Lakini dude hili halisimami mke akazimia pale pale

tutumie original tusitumie vya kubumba....
Hahaaaaaaaa
 
nyie mnazani wanawake wanakomoleka kwa kuongeza uume mnajitesa sa men wenzangu hakuna mboo kubwa kwenye uke wa mwanaume so mridhike na mlichopewa na mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom