Dawa za kuongeza ukubwa wa mashine kwa wanaume, ni kweli au propaganda??

hizo dawa ni kweli zipo!zinanenepesha kitu mbaya!urefu inch 6 unene sawa na chupa ya fanta!kitu kinakua cha ukweli kichizi!kama kuna mtu anahitaji atoe request yake ntamwelekeza pa kuipata!
mi nahtaji nielekeze.maana wife anililia sana niiongeze...sa nshashindwa niitaftie wp?
 
neemaherbalist.blogspot.com>>>>>Hawa jamaa ndo wanajitangaza kuwa wanayo ya kuongeza maumbile ya kiume,kuongeza makalio, kuondoa harufu mbaya kwenye maeneo na pia kuongeza mtu urefu kama we ni mfupi kuna dawa unakunywa na kupakaa kichwani utakuwa mrefu ndani ya siku 14!!!!
 
Kuna jamaa alitumia hizo dawa sijui alikosea dozi,alooo ndonga ilikuwa mpaka ikafikia uzito wa 10 klg,ikabidi jamaa apelekwe hospital si mchezo.
 
Research zinaonyesha kuwa asilimia 90 ya wanaume duniani wangeongeza urefu na kunenepesha M.b.oo zao Kama wangejua zinaongezwa vipi! Kwa hiyo tusidanganyane jamani.
 
neemaherbalist.blogspot.com>>>>>Hawa jamaa ndo wanajitangaza kuwa wanayo ya kuongeza maumbile ya kiume,kuongeza makalio, kuondoa harufu mbaya kwenye maeneo na pia kuongeza mtu urefu kama we ni mfupi kuna dawa unakunywa na kupakaa kichwani utakuwa mrefu ndani ya siku 14!!!!

Jamani this can not be true???
 
kama zile za kuongeza makalio zipi, basi na za aina hiyo zitakuwepo, lakini mimi sizitaki, nisijepata busha la kiania nikashindwa wa kumlilia...ushawai kuona yule mwanamke makalio yalidodoka chini kwasababu alitumia za kichina?
 
Dawa hizo zipo lakini zina madhala ktk siku za mbeleni, by the way kumlidhisha mwnmk haijalishi saizi ya uume ulio nao isipokuwa ni maujanja yako tu, na uwezo kucheza na akili yake, you may PM me kama unataka ushauri zaidi.
 
Dawa hizo zipo lakini zina madhala ktk siku za mbeleni, by the way kumlidhisha mwnmk haijalishi saizi ya uume ulio nao isipokuwa ni maujanja yako tu, na uwezo kucheza na akili yake, you may PM me kama unataka ushauri zaidi.
 
Research zinaonyesha kuwa asilimia 90 ya wanaume duniani wangeongeza urefu na kunenepesha M.b.oo zao Kama wangejua zinaongezwa vipi! Kwa hiyo tusidanganyane jamani.

this is too graphic, wakuu tafsida kidogo.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom