Sasa udini hapa upo wapi? JK anajaribu kuwapa heshima hao viongozi wa dini ili wasiaibike ktk jamii. Kama akiwataja majina unafikiri hali yao itakuwaje? ni aibu tupu kwa dini hiyo.
Kwamba "Viongozi wa dini" wanajisalimisha na wanakubalina na kamanda wa Polisi wa Mkoa wasitajwe majina!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Na Chombo hicho cha dola kinakubaliana nao wasitajwe hao wauza madawa ya kulevya!!!!!. Kesho Chombo hicho hicho kitataka ushirikiano wa wananchi kwa maana ya kutaja waarifu! ili iweje kama si kuwatajia waarifu watu waliotoa taarifa.Inasikitisha!!.
Kwanza hawa hawakujisalimisha hivyo hakukuwa na sababu ya kutokuwataja na kutowafikisha mahakamani. Mkuu wa Nchi alishakuwa na taarifa nao na bila shaka ana orodha yao ndo maana alitoa tamko kuhusiana na "viongozi wa dini" kujihusisha na madawa ya kulevya.
Baada ya watu kusubiri muda mrefu, tunakuja kuambiwa viongozi wa Pentecostal....sijui na nini...!!!!! Wale ni wahuni wameandaliwa