Dawa za kipemba

amiride

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
200
37
Baada ya dawa hizi, hatunahaja na ma Doctor tena..

1. Kuumwa kichwa. Koroga vijiko vinane vya sukari katika maji ya fukuto unywe taratibu.
2. Maumivu ya viungo vya mwili. Chukua nusu glasi asali, tia vijiko 6 vya sukari unywe.
3. Maumivu ya tumbo. Chukua kilo moja halua utie robo kilo sukari kisha ule kwa mpigo.
4. Kukohoa. Chukua tende 30 tia nusu kikombe asali safi na vijiko vitano sukari kishe ule kwa mpigo.
5. Kukosa usingizi. Chukua robo kilo halua na tende 100 , changanya na asali na sukari ule.
6. Mafua na baridi. Kula kilo 1 na nusu halua, kisha lamba nusu kikombe shira ya moto kiasi.
7. Kuumwa mgongo. Kula tambi zilizojazwa sukari na robo kilo halua.
8. Kuharisha. Kula kalimati 25 zilizolowekwa kwenye shira muda wa siku tatu, ongeza chai ya moto
 
Baada ya dawa hizi, hatunahaja na ma Doctor tena..

1.Kuumwa kichwa. Koroga vijiko vinane vya sukari katika maji ya fukuto unywe taratibu.
2. Maumivu ya viungo vya mwili. Chukua nusu glasi asali, tia vijiko 6 vya sukari unywe.
3. Maumivu ya tumbo. Chukua kilo moja halua utie robo kilo sukari kisha ule kwa mpigo.
4. Kukohoa. Chukua tende 30 tia nusu kikombe asali safi na vijiko vitano sukari kishe ule kwa mpigo.
5. Kukosa usingizi. Chukua robo kilo halua na tende 100 , changanya na asali na sukari ule.
6. Mafua na baridi. Kula kilo 1 na nusu halua, kisha lamba nusu kikombe shira ya moto kiasi.
7. Kuumwa mgongo. Kula tambi zilizojazwa sukari na robo kilo halua.
8. Kuharisha. Kula kalimati 25 zilizolowekwa kwenye shira muda wa siku tatu, ongeza chai ya moto
:smash:
kisukari pap!!!
:ballchain:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom