Dawa za kihaya za kupambana na magonjwa yaambatanayo na HIV

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
May 1, 2007
7,022
9,285
Wana JF katika pitia pitia zangu kwenye Net, nikafanikiwa kukutana na dawa hizi za Asili zinazosaidia kupunguza makali ya HIV, nikaona bora niziweke hapa,
ila naomba kutoa tahadhari kwamba sijui hizi dawa zinatolewa vipi, kutwa mara ngapi, au kwa muda gani, kiufupi sijui prescription yake, ila ni matumaini yangu kwa wale watu wanaotaka kuresearch zaidi, au kuzitumia watafanya utafiti wa kuwauliza wale wanaozifahamu.
Kwa wale ambao wangependa kujua hiyo mimea ni mimea gani, unaweza kucopy scientific name ukagoogle kwenye "Image" au hata kwenye "Web" then utaweza kuona picha za hiyo mimea.
Unaweza kuona dawa hizi kupitia www.ethnobiomed.com-Table

Local name (Haya)
Part used
Condition treated
Collection code No.


Thurnbergia alata Sims
Rwankura
Leaves/Roots
Oral candidiasis
DK013/06

Aloe sp.
Enkaka
Leaves
Herpes zoster
DK046/06

Mangifera indica L.
Omunembe
Leaves
Tuberculosis (TB)
DK037/06

Ozoroa insignis Del.
Omukerenge
Roots
Skin rashes, Tuberculosis, Herpes simplex, Herpes zoster, Cryptococcal menengitis, Oral candidiasis
DK023/06

Rhus natalensis Krauss
Omusheshe
Leaves/Roots
Herpes zoster, Herpes simplex, Cryptococcal meningitis, skin infections
DK044/06

Rhus vulgaris Meikle
Omukanja
Leaves/Roots
Chronic diarrhea, skin rashes
DK036/06

Pseudospondias microcarpa Engl.
Omuziru
Leaves/Bark
Tuberculosis, Oral candidiasis
DK005/06

Lannea schimperi (A. Rich) Engl.
Ombumbo
Bark
Tuberculosis, Skin rashes, Herpes zoster, Herpes simplex, Chronic diarrhea
DK047/06

Annona senegalensis Pers.
Omukonya
Root
Herpes zoster, Cryptococcal meningitis, Skin infections
DK034/06

Rauvolfia vomitoria Afz.
Omunyabusindi
Leaves/Bark/Roots
Herpes zoster, Herpes simplex, Skin rashes.
DK030/06

Cussonia arborea Hochst. Ex A. rich
Kijagaajaga
Bark
Chronic diarrhoea
DK022/06

Vernonia adoensis Walp.
Nyakibasi
Leaves
Tuberculosis
DK008/06

Vernonia amygdalina Del.
Omumbilizi
Leaves
Skin rashes, Chronic diarhhoea, Herpes zoster, Herpes simplex, Cryptococcal meningitis.
DK016/06

Senecio syringifolius O. Hoffm.
Ekishenda
Roots
Herpes simplex
DK031/06

Ageratum conyzoides L.
Kyabakiriao
Leaves
Cryptococcal meningitis, Herpes zoster.
DK025/06

Bidens pilosa L.
Mbukurura
Leaves
Oral candidiasis.
DK054/06

Conyza floribunda H.B.K.
Lukobe
Leaves
Skin rashes
DK027/06

Kigelia africana (Lam.) Benth.
Omujunguti
Bark/Fruit
Herpes simplex
DK032/06

Cassia abbreviate Oliv.
-
Leaves
Skin rashes
DK045/06

Senna occidentalis (L.) Link
Mwita njoka
Roots
Chronic diarrhea
DK021/06

Cassia mimosoides L.
Akashanganziru
Leaves/Roots
Tuberculosis
DK024/06

Capparis erythrocarpos Isert
Oluvuranganga
Roots
Skin rashes, Tuberculosis, Cryptococcal meningitis, Oral candidiasis, Herpes zoster, Herpes simplex, chronic diarrhoea
DK028/06

Gynadropsis gynandra (L.) Briq.
Eiopyo
Leaves
Oral candidiasis, Oral sores
DK033/06

Capparis tomentosa Lam.
Omukolokomba/Rukwatango
Roots
Tuberculosis, Oral candidiasis, Herpes zoster, Herpes simplex
DK020/06

Carica papaya L. (male)
-
Leaves/Roots
Oral candidiasis
DK035/06

Maytenus senegalensis (Lam.) Exell
Omunyambuliko
Bark/Root
Herpes simplex, Herpes zoster, Oral candidiasis, Skin rashes, Tuberculosis
DK018/06

Chenopodium opulifolium Koch. & Ziz.
Mwitango
Leaves
Herpes simplex
DK015/06

Chenopodium Ambrosioides L.
Akaita malogo
Leaves
Herpes simplex, cryptococcal meningitis
DK056/06

Parinari curatellifolia Benth.
Omunazi
Bark/Root
Skin rashes, Tuberculosis, Chronic diarrhea, Herpes zoster, Herpes simplex.
DK039/06

Garcinia buchananii Bak.
Omusharazi
Bark/Root
Tuberculosis, Chronic diarrhoea, Cryptococcal Meningitis, Herpes zoster, Herpes simplex, Skin rashes
DK063/06

Psorospermum febrifugum Spach.
Ekiana
Bark/Root
Herpes zoster, Herpes simplex, Cryptococcal meningitis, Skin infections.
DK003/06

Harungana madagascariensis Lam. Ex Poir
Omujumbo
Leaves/Bark
Chronic diarrhea
DK006/06

Combretum collinum Sound.
Omukoyoyo
Leaves/Bark/Roots
Chronic diarrhea, Tuberculosis
DK041/06

Terminalia mollis Laws
Muhongora
Bark
Cryptococcal meningitis, Tuberculosis
DK058/06

Ipomoea sinensis (Desr.) Choisy
Omusinda nyungu
Leaves
Oral candidiasis, Tuberculosis
DK055/06

Zehneria scabra (L.f.) Sond.
Akabindizi
Whole plant
Cryptococcal meningitis, Oral candidiasis, Skin rashes, Herpes simplex.
DK017/06

Pteridium aquilinum (L.) Kuhn.
Olulele
Leaves
Oral candidiasis, Tuberculosis
DK029/06

Dracaena steudneri Engl.
Omugorogoro
Bark
Cryptococcal meningitis, Tuberculosis, Oral candidiasis
DK014/06

Sapium ellipticum (Krauss) Pax
Omushasha
Bark
Tuberculosis, Herpes zoster, Cryptococcal meningitis
DK019/06

Ricinus communis L.
Omujuna
Roots
Chronic cough
DK048/06

Jatropha curcas L.
Ekiyo
Leaves
Skin rashes, Oral candidiasis
DK011/06

Antidesma venosum Tul.
Mbatabata
Roots
Tuberculosis, Chronic diarrhoea, Oral candidiasis
DK049/06

Phyllanthus reticulatus poir.
Kaumura
Leaves
Herpes simplex
DK076/06

Plectranthus barbatus Andr.
Kasindano/Kishwija
Leaves
Oral candidiasis, Herpes zoster, Herpes simplex, Skin rashes
DK010/06

Plectranthus comosus Sims
Mukono wa nkanda
Leaves
Herpes zoster, Herpes simplex, Skin rashes, Oral candidiasis, Tuberculosis
DK071/06

Ocimum gratissimum L.
Kashwagara
Leaves
Chronic diarrhea, Herpes simplex
DK065/06

Hibiscus fuscus Garcke
Olushuya
Leaves
Chronic diarrhoea
DK053/06

Entada abyssinica A. rich.
Mwiganjura
Leaves/Bark
Skin rashes, Tubercuilosis, Oral candidiasis, Herpes zoster, Herpes simplex.
DK026/06

Entada leptostachya Steud ex A. rich.
Ekitakuli
Roots
Skin rashes, Tuberculosis, Herpes simplex, Herpes zoster
DK043/06

Acacia hockii De Willd.
Mugando
Bark
Herpes zoster
DK038/06

Myrica salicifolia A. Rich.
Omukikimbo
Bark/Root
Tuberculosis, Chronic diarrhea, Cryptococcal meningitis, Herpes simplex
DK057/06

Psidium guajava L.
Omupera
Leaves
Tuberculosis, Chronic diarrhea
DK042/06

Syzygium guineense (Willd) DC
Omuchwezi
Bark
Chronic diarrhea
DK059/06

Syzygium cordatum Krauss
Omugege
Leaves/Bark
Herpes zoster, Herpes simplex, Skin rashes
DK070/06

Ximenia americana var. caffra (Sond.) Engl.
Omusheka
Roots
Skin rashes
DK074/06

Argemone mexicana L.
Akatojo
Leaves/Seeds
Cryptococcal meningitis
DK062/06

Erythrina abyssinica DC.
Omurinzi
Bark/Root
Tubeculosis
DK040/06

Eriosema psoraleoides (Lam.) G. Don.
Omukakara
Leaves
Chronic diarrhea
DK077/06

Abrus precatorius L.
Kaligaligo
Leaves
Oral candidiasis
DK052/06

Cajanus cajan (L.) Millsp.
Mtandaikwa
Stem string
Oral candidiasis
DK066/06

Adenia gummifera (Harv) Harms.
Nyarimari
Stem/Root
Oral candidiasis
DK073/06

Phytolacca dodecandra L'Herit
Muhoko
Leaves
Herpes zoster, Skin rashes.
DK079/06

Securidaca longipedunculata Fres.
Omweiya
Leaves/Bark/Root
Cryptococcal meningitis, Oral candidiasis
DK069/06

Rumex usambarensis (Dammer) Dammer
Akarurinzi
Leaves/Roots
Chronic diarrhea, Oral candidiasis, Skin infections
DK060/06

Clematis hirsute Guill. & Perr.
Omnkamba
Leaves
Tuberculosis, Cryptococcal meningitis, Herpes zoster
DK051/06

Canthium zanzibarica Klotzsch.
Omushangati
Bark/Root
Cryptococcal meningitis
DK080/06

Tarenna graveolens (S.Moore) Breun.
Omushangati
Bark/Roots
Cryptococcal meningitis
DK067/06

Vagueria infausta Hochst.
Mubungo
Leaves
Oral candidiasis
DK061/06

Citrus limon (L.) Burm.f.
-
Root
Tuberculosis
DK075/06

Allophyllus africanus Beauv.
Katatera Mnyanya
Leaves
Chronic diarrhea
DK050/06

Grewia bicolor Juss
Omukoma
Leaves/Bark/Roots
Chronic diarrhea
DK064/06

Trema orientalis (L.) Blume
Muuwe
Leaves
Oral candidiasis
DK078/06

Vitex fischeri Gurke
Omuunda
Bark
Herpes zoster, Tuberculosis, Herpes simplex, Skin rashes
DK068/06

Rhoicissus tridentate (L.f.) Wild & Drum.
Ekimara
Leaves
Herpes zoster
DK072/06
 
Jamani anayejua dozi kwa typhoid unatumia siku ngapi??
mie nimeanza kutumia jana nakunywa glass moja kutwa mara 3 ila sijui kwa mda gani nitakunywa.
help please :':)':)'(
 
Jamani anayejua dozi kwa typhoid unatumia siku ngapi??
mie nimeanza kutumia jana nakunywa glass moja kutwa mara 3 ila sijui kwa mda gani nitakunywa.
help please :':)':)'(

Unatumia dawa gani kwani?
 
nimeona orodha ndefu lakini sijaona dawa inaitwa KAENDALUGO, hii ni dawa inayotibu UTI kwa Kihaya Binyoro, Inatibu wanawake wenye harufu mbaya kwenye nyeti, inatibu fungas zote , alafu inaamsha mwanamke aliyepoteza hamu ya kufanya mapenzi.
 
nimeona orodha ndefu lakini sijaona dawa inaitwa KAENDALUGO, hii ni dawa inayotibu UTI kwa Kihaya Binyoro, Inatibu wanawake wenye harufu mbaya kwenye nyeti, inatibu fungas zote , alafu inaamsha mwanamke aliyepoteza hamu ya kufanya mapenzi.
Hiyo inapatikana wapi mkuu maana hizi UTI za sasa zimekuwa kama pepo mpaka mtoto mdogo nae zinamuandama. Msaada mkuu maana dawa za kihaya zinasifika kwa uponyaji.
 
Hiyo inapatikana wapi mkuu maana hizi UTI za sasa zimekuwa kama pepo mpaka mtoto mdogo nae zinamuandama. Msaada mkuu maana dawa za kihaya zinasifika kwa uponyaji.
Sio kwamba naitangaza kwa kweli inaponyesha ukiitaka sana unaweza kuni-contact
 
nimeona orodha ndefu lakini sijaona dawa inaitwa KAENDALUGO, hii ni dawa inayotibu UTI kwa Kihaya Binyoro, Inatibu wanawake wenye harufu mbaya kwenye nyeti, inatibu fungas zote , alafu inaamsha mwanamke aliyepoteza hamu ya kufanya mapenzi.

Mkuu nakosoa kidogo, dawa hii inaitwa KARANDALUGO (maana yake kutambaa juu ya fensi sababu ndiyo sifa ya huo mmea, unatambaa mfano wa mpesheni lakini vimajani vyake vidogo). Mmea huu ni dawa nzuri sana kwa wagonjwa wenye sukari. Dawa zingine maarufu ambazo hazijatajwa ktk orodha hii ni Omusharazi, Kagurukandai, Mtima gwensi, Webumbe, Entare yeirungu, Akashenganziru (hii ni dawa kiboko ya kuunga mifupa iliyovunjika), Akachumbamwani, Engushulu (Dawa nzuri ya presha), Akatuntunu, Omulemakyanda, Lushalila (Dawa ya ngili na tumbo linalonyonga na kuguna)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom