Dawa yakuondoa maumivu kwenye goti haraka.

Sharp lady

Senior Member
Feb 23, 2011
129
13
Hi wadau!
Naombeni anayejua dawa yakuondoa maumivu kwenye goti anijuze. Nilijigonja kwny ukuta zaidi ya mwezi sasa ndo nimeamza kupata maumivu kwnye goti. Nimejaribu dawa mbali mbali zikiwamo Volin, endosin, diclopar, irifone gel, meloxican lakini bado maumivu yapo. Naombeni ushauri wenu.
 
kamuone dr...
Angalizo usitegemee kama maumivu hayo yataisha ghafla. Itakugharimu muda mrefu au mfupi wa matumizi ya antibiotics,antipains na dawa za nerves kama neurobion... Lakini usikate tamaa yataisha tu,tena ghafla bila kutarajia !
 
asante sn kwa ushauri.
 
Kula Piroxicam 20mg bd pamoja na Prednisolone 5mg bd kwa siku tano. Halafu uje utupe majibu.
 
Kanunue dawa inaitwa Diclofenac sodium 50mg gastro- resistant take one three times a day, ni vidogo na vina rangi ya orange hii ina impact ya within up to 2 hours basi maumivu kwishnei! alternatively tumia magnetic patches huwa zinasaidia sana hizi patches ambazo utazigandisha ktk sehemu inayouma kama ni gotini na zile magnetic fields zitaclear maumizu na maumizu yakiisha yenyewe itadondoka. Kwa mfano mimi huwa natumiaga za Acumed advanced pain patches. Good luck na pole sana mkuu
 
Wadau na washukuruni sana tena sana ntazingatia ushauri wenu kwa uzito kabisa. Mungu awabariki.
 
mbona irifone gel ndiyo kiboko ya maumivu? chukua tena irifone gel halafu upake sehemu yenye maumivu mara nne hadi tano kwa siku. unapopaka hakikisha unasugua sehemu yenye maumivu taratibu hadi dawa yote ikauke. fanya hivyo halafu utaniambia.
 
kamuone dr...
Angalizo usitegemee kama maumivu hayo yataisha ghafla. Itakugharimu muda mrefu au mfupi wa matumizi ya antibiotics,antipains na dawa za nerves kama neurobion... Lakini usikate tamaa yataisha tu,tena ghafla bila kutarajia !
uliyetoa hii post hujielewi, rudia ulichoandika. hayataisha ghafla, yataisha ghafla ndio nini. yote unatamka ww je tuelewe lipi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom