Dawa ya wana ndoa kutumia vyema simu zao

Kaitaba

JF-Expert Member
Jun 30, 2009
916
52
Nilikuwa stand ya basi nikasikia jamaa wanaongea kuwa kuna uwezekano wa kuunganisha simu yako na ya mwenzi wako, ili kila atakachoongea kwenye simu yake na wewe usikie, nilivutiwa sana, lakini kwa bahati mbaya kabla hawajamaliza basi lao likafika wakaondoka,

Humu JF hakuna anayeijua hiyo teknolojia?
 
Du...Sa hii itakuwa ni kuingilia privacy, hata kama ni mke wangu jamani!
Yaani napewa taarifa ya msiba wa baba mkwe(babaake) na yeye asikie live na kusababisha matatizo mapya tena?
Mi nimeichukia hii maneno bure!
 
Usiichukie, na je kama anapanga muda na siku ya kwenda kumegwa na rijamaa lenye miwaya? auoni kuwa hiyo technolojia itakuepusha na mauti ya lazima?
 
Nilikuwa stand ya basi nikasikia jamaa wanaongea kuwa kuna uwezekano wa kuunganisha simu yako na ya mwenzi wako, ili kila atakachoongea kwenye simu yake na wewe usikie, nilivutiwa sana, lakini kwa bahati mbaya kabla hawajamaliza basi lao likafika wakaondoka,

Humu JF hakuna anayeijua hiyo teknolojia?

Achana na mawazo ya kutaka kuingilia uhuru wa mkeo! Unataka kusikiliza mazungumzo hata na mashoga zake! Wanaume wengine wana wivu wa kutisha.
 
hii inakua soooo sasa, lakini hakuna kitu kama hicho. hata aliyegundua mitandao akiobwa ushauri hawezi kukubali. hata OUR PRESIDENT...
 
Hata kama hamuaminiani, hiyo sasa itakuwa imepitiliza.
Binadamu hachungiki! atatafuta tu solutions. kwani si unaazima simu ya jamaa tu kama una mipango ya ovyo? kwani kuwasiliana ni lazima utumie simu iliyokuwa connected na husband/wife?
 
ya nin kutaka kujua mkeo kaongea na nani kila kukicha??? kwani weye unapoongea na mtu anakufuata?? nae ni binadamu bana kama akimegwa nawe mega mzee,

Huwezi kumchunga mke bana, kama wazazi wake wangemchunga kihiivyo hata weye usingempata mzee..akikupenda kakupenda asipokupenda tu akitoa ni hiyari yake na huo ndo mwili wake mzee..

Mke akiamua hata akiwa uani atatoboa tundu jamaaa apitishie hapo, ikishindikana sana ataajili jamaa kiama hausi boyi tu sijui hapo napo utazuia?..Kwani wanawake angapi hawana simu lakini wanapigwa kinoma mzee?/..

Raha ya kitamu kula na wenzio bana..uzuri wa mkeo utaujua kwa wale wanao mfuatilia...
 
wenye mioyo miepesi watakufa kwa presha km ikitokea akajua kila akifanyacho mwenzi wake kwa kupitia simu ya mkononi.
 
Back
Top Bottom