dawa ya utabiri

Mwana va Mutwa

JF-Expert Member
Jun 9, 2009
459
53
Jamaa mmoja alienda kwa mganga ili afanyiwe dawa na yeye awe mtabiri. Mganga alimvua nguo zote jamaa huyo na kumuacha kama alivyozaliwa kisha akaanza kumpaka mafuta mwilini na kumwambia jamaa huyo kuwa hii ninayo kupaka ndio dawa ya utabiri. Mganga aliendelea kumpaka mafuta alipofika maeneo ya makalio ya jamaa huyo jamaa alishtuka na kusema; “Ah! mganga vipi mbona unanishika makalio yangu unataka kunibaka nini?
Ndipo mganga huyo aliposikika akisema; “Inaelekea dawa imeshaanza kufanya kazi umetabiri vizuri ni kweli nilikuwa nataka kukubaka”
ndipo jamaa alibaki ameduwaa...
 
Back
Top Bottom