Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na upele mwilini.Je dawa ni ipi?Upele wenyewe una hali ya ukavu ukavu na kuwasha kwa mbali.Umetapakaa sehemu kubwa ya mwili wangu kasoro usoni.Naoga kwa siku mara mbili mpaka 3.NAOMBENI USHAURI NA DAWA JAMANI.MADAKTARI WA HIZI HOSPITAL ZA JIRANI NA HOME WANANIAMBIA MINYOO.NATIBIA KISHA SIPONI.MSAADA JAMANI TATIZO HILI NI MIEZ 5 SASA.