Dawa ya NYONGO au Heartburn

Kwa kutumia common sense tuangalie hio heartburn au acid reflux inasababishwa na nini na vipi namna ya kuzuia.

Mimi nakumbuka nilipokuwa nasma shule za bweni nilikuwa nikisumbulia na tatizo hili lakini nikalikabili.

Heartburn inasababishwa na vitu vifuatavyo:

Chai, kahawa na vinywaji vyote zilivyo na caffeine

Caffeine inasababisha kulegeza misuli ya tumbo na kusababisha mabaki ya chakula kilichosagwa ku-reflux(ujazo) kwenda kwenye esophagus.

Chocolate

Chocolate inakitu kinaitwa theobromine ( kitu kinachopatikana kwenye mimea kama cocoa, chai na kahawa), ambayo pia inalegeza esophageal sphincter muscle,(mshipa wa njia ya chakula) na kusababisha chakula chenye acid kujirusha juu kwenda kwenye esophagus.

Vyakula vya kukaanga na vyenye mafutamafuta

Vyakula hivi zinachelewesha usagaji wa chakula na kusababisha kuweka chkula hichihichi kwenye tumbo kwa muda mrefu, hali inayosababisha mfumuko wa chakula hicho kwennda tena kwenye njia ya chakula. Ndio utakuta unabeua kila wakati.

Nyanya

Pombe
Pombe inaongeza acid tumboni.

Sigara

Kula chakula kingi kupita kiasi

Juisi za makopo

Citrus fruits and juices

Kula masaa 2 au matatu chakula kingi kabla ya kulala.

Namna ya kupunguza au kuondokana na tatizo hili ni kuondokana na utumiaji au kula kiasi na kwa wakati muafaka kwa mfano unaweza kula chakula cha jioni kwenye saa moja za jioni na sio kula saa nne ya usiku tena ukiwa online kwenye JF.

Haya ni maoni yangu tu kutokana na experience.
 
Hii bilirubin ni nini mkuu?
Leo naingia darasa la kitabibu kweli kweli.

Mkuu dfntn ya Bilurubin

Bilirubin is a product that results from the breakdown of hemoglobin. Total and direct bilirubin are usually measured to screen for or to monitor liver or gallbladder problems.

Mifano ya vipimo anavyotakiwa kuchukuwa ni,

Total bilirubin; Unconjugated bilirubin; Indirect bilirubin; Conjugated bilirubin; Direct bilirubin
 
Kwa kutumia common sense tuangalie hio heartburn au acid reflux inasababishwa na nini na vipi namna ya kuzuia.

Mimi nakumbuka nilipokuwa nasma shule za bweni nilikuwa nikisumbulia na tatizo hili lakini nikalikabili.

Heartburn inasababishwa na vitu vifuatavyo:

Chai, kahawa na vimnyaji vyote zilivyo na caffeine

Caffeine inasababisha kulegeza misuli ya tumbo na kusababisha mabaki ya chakula kilichosagwa ku-reflux(ujazo) kwenda kwenye esophagus.

Chocolate

Chocolate inakitu kinaitwa theobromine ( kitu kinachopatikana kwenye mimea kama cocoa, chai na kahawa), ambayo pia inalegeza esophageal sphincter muscle,(mshipa wa njia ya chakula) na kusababisha chakula chenye acid kujirusha juu kwenda kwenye esophagus.

Vyakula vya kukaanga na vyenye mafutamafuta

Vyakula hivi zinachelewesha usagaji wa chakula na kusababisha kuweka chkula hichihichi kwenye tumbo kwa muda mrefu, hali inayosababisha mfumuko wa chakula hicho kwennda tena kwenye njia ya chakula. Ndio utakuta unabeua kila wakati.

Nyanya

Pombe
Pombe inaongeza acid tumboni.

Sigara

Kula chakula kingi kupita kiasi

Juisi za makopo

Citrus fruits and juices

Kula masaa 2 au matatu chakula kingi kabla ya kulala.

Namna ya kupunguza au kuondokana na tatizo hili ni kuondokana na utumiaji au kula kiasi na kwa wakati muafaka kwa mfano unaweza kula chakula cha jioni kwenye saa moja za jioni na sio kula saa nne ya usiku tena ukiwa online kwenye JF.

Haya ni maoni yangu tu kutokana na experience.

Rich,
Nimekupata mkuu.
 
Mkuu dfntn ya Bilurubin

Bilirubin is a product that results from the breakdown of hemoglobin. Total and direct bilirubin are usually measured to screen for or to monitor liver or gallbladder problems.

Mifano ya vipimo anavyotakiwa kuchukuwa ni,

Total bilirubin; Unconjugated bilirubin; Indirect bilirubin; Conjugated bilirubin; Direct bilirubin
Sawa mkuu.
 
Mtoa bandiko kabla sijachangia una tatizo la kuongezeka uzito? na umewahi kucheki cholestral level yako? Je wewe ni mlaji wa nyama sana red mt au kilaji? pilipili je?
We Nguli maswali unayomuuliza hayana huusiano na matatizo yake

Kuna daktari mmoja mgonjwa yeyote wa kike akienda kwake hata kama anaumwa kichwa atamwambia apande kitandani na kuvua nguo eti anakagua mwili wote, wewe unafana na huyo daktari,

Vyakula vinavyo sababisha hali hii ni maarage, pilipili, ndimu, mtindi maembe machanga na vingine vyenye uchachu uchachu,

dawa zake ni kunywa maji mengi au majivu au maziwa fresh,
ukienda hosipitalini utapewa magnesium trisilicate au omeprazole
 
Kwa wenye kuelewa taaluma zao watakuwa wamenielewa lakini sio wewe.
 
Tafadhali nijulisheni dawa ya kuponya tatizo la NYONGO mwilini.
Je tatizo la nyongo ndilo heartburn kwa Kiingereza?
naomba msaada.

Bwana Exaud pamoja na wadau wengine,

Kwanza napenda kuwafafanulia maneno niliyoyawekea rangi,

Nyongo:

Hii ni organi iliyo karibu na ini ambayo huifadhi sumu iliyochujwa kutoka kwenye ini. Kazi yake kuu ni kupaka kinyesi rangi.

Nyongo hujaa endapo utatumia vitu vyenye sumu mathalan pombe kali au laini kwa wingi. Nyongo ikijaa hutolewa mwilini kwa njia ama ya mdomo au haja kubwa.

Heartburn (Kiungulia):
Kiungulia husababishwa na ulaji wa vitu vyenye tindikali kwa wingi au vinavyohitaji tindikali wakati wa kumeng'enywa. Hivyo basi tindikali hii hupanda toka tumboni na kuingia katika koo la chakula. Kupanda huku kwa tindikali ndio kunakosababisha kiungulia.

Kwa mujibu wa kemia, Tindikali + Bezi = Uwiano, kwa hivyo basi mtu akipata kiungulia ambayo ni tindikali akatumia kitu chenye besi kama majivu au magadi basi anaweza kupata nafuu.

Jambo la kuzingatia ni kujitahidi kula vyakula visivyohitaji tindikali kwa wingi wakati wa kumeng'enywa.

Wanajamvi,

Nawasilisha mada
 
Exaud,

Kuna mdau alisha ileta hii kitu hapa mwaka jana, wataalam walishusha nondo zao kama kawaida.....so pamoja na michango ya wadau leo hii itakuwa si vibaya ukapitia hiyo thread kwa mawazo mengine zaidi!

Gonga hapa: https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/17495-heartburn.html Thread hii ilianzishwa na mdau anaitwa Sita Sita!
 
Bwana Exaud pamoja na wadau wengine,

Kwanza napenda kuwafafanulia maneno niliyoyawekea rangi,

Nyongo:
Hii ni organi iliyo karibu na ini ambayo huifadhi sumu iliyochujwa kutoka kwenye ini. Kazi yake kuu ni kupaka kinyesi rangi.

Nyongo hujaa endapo utatumia vitu vyenye sumu mathalan pombe kali au laini kwa wingi. Nyongo ikijaa hutolewa mwilini kwa njia ama ya mdomo au haja kubwa.

Heartburn (Kiungulia):
Kiungulia husababishwa na ulaji wa vitu vyenye tindikali kwa wingi au vinavyohitaji tindikali wakati wa kumeng'enywa. Hivyo basi tindikali hii hupanda toka tumboni na kuingia katika koo la chakula. Kupanda huku kwa tindikali ndio kunakosababisha kiungulia.

Kwa mujibu wa kemia, Tindikali + Bezi = Uwiano, kwa hivyo basi mtu akipata kiungulia ambayo ni tindikali akatumia kitu chenye besi kama majivu au magadi basi anaweza kupata nafuu.

Jambo la kuzingatia ni kujitahidi kula vyakula visivyohitaji tindikali kwa wingi wakati wa kumeng'enywa.

Wanajamvi,

Nawasilisha mada

Sawa mkuu.
 
Tafadhali nijulisheni dawa ya kuponya tatizo la NYONGO mwilini.
Je tatizo la nyongo ndilo heartburn kwa Kiingereza?
naomba msaada.

How to Treat Heartburn

Heartburn is a condition that is caused by stomach acids backing up into the esophagus. Symptoms of this condition include difficulty swallowing, burning in the throat, acidic taste in the mouth and burping. For those who suffer from heartburn occasionally, some simple treatments and diet changes can help.

Instructions

  1. Step 1
    Avoid foods that cause your heartburn. Some common heartburn-causing foods are garlic, onions, spicy or acidic foods, and caffeinated items such as chocolate and coffee. Other foods can cause heartburn as well, so when you have heartburn, keep track of what you ate. This will help establish patterns and allow you to avoid the foods that cause your heartburn.
  2. Step 2
    Change medications that irritate your stomach. Aspirin is a common cause of heartburn. If you must take heartburn-causing medications, take them with food or with a drink that will coat your stomach in order to lessen the resulting heartburn.
  3. Step 3
    Eat smaller meals. Tight belts or waist bands and over stuffed stomachs can contribute to heartburn. Eating smaller meals more frequently will keep you from becoming overstuffed.
  4. Step 4
    Use gravity to your advantage. If heartburn has set in, stay in an upright position to allow the acids to flow back into your stomach. Sleeping on extra pillows at night or not lying down immediately after a meal will also help.
  5. Step 5
    Take antacids to treat the pain if it persists. There are numerous over-the-counter products that relieve or limit heartburn if taken before meals. For those who suffer on occasion, these are effective treatments.
  6. Step 6
    Get medical attention if your heartburn increases in severity or if you suffer more than two to three times each week. If heartburn is coupled with severe pain, sweating or a pain in the left arm, seek immediate medical attention as these are symptoms of a heart attack .

1.
Hatua ya 1

Kuepuka vyakula ambavyo kusababisha yako Heartburn. Baadhi ya kawaida Heartburn-kusababisha athari ya vyakula ni vitunguu, vitunguu, spicy au acidic vyakula, na vitu kama vile caffeinated chocolate na kahawa. Vyakula vingine yanaweza kusababisha Heartburn kama kisima, hivyo wakati una Heartburn, keep track ya mlikula nini. Hii itasaidia kuanzisha mifumo na kukuruhusu kuepuka vyakula ambavyo kusababisha yako Heartburn.
2.
Hatua ya 2

Change dawa ambayo inakera tumbo yako. Aspirin ni kawaida kusababisha Heartburn. Kama ni lazima kuchukua Heartburn-kusababisha athari ya dawa, kuchukua yao kwa chakula au kwa kunywa ambayo kanzu tumbo yako ili kupunguza kusababisha Heartburn.
3.
Hatua ya 3

Kula milo vidogo. Tight Belts au kiuno bendi na juu stuffed matumbo unaweza kuchangia Heartburn. Kula milo vidogo mara nyingi zaidi atayaweka kutoka kuwa overstuffed.
4.
Hatua ya 4

Kutumia mvuto kwa faida yako. Kama Heartburn imeweka katika, kukaa katika wima kuruhusu kali kwa mtiririko kurejea katika tumbo yako. Wanaolala ziada pillows usiku au amelala chini mara baada ya mlo pia kusaidia.
5.
Hatua ya 5

Kuchukua antacids kutibu maumivu kama hubakia. Kuna wengi over-the-counter bidhaa ili kupunguza au Heartburn kikomo iwapo kuchukuliwa kabla ya milo. Kwa walio kuteseka juu ya tukio, hizi ufanisi matibabu.
6.
Hatua ya 6

Kupata matibabu kama Heartburn yako kuongezeka kwa ukali au ikiwa kuteseka zaidi ya mbili mara tatu kwa kila wiki. Kama Heartburn ni kutokana na maumivu, kutokwa jasho au maumivu katika mkono wa kushoto, kutafuta matibabu ya haraka kama hizi ni dalili za mashambulizi ya moyo.
 
Samahani muuliza swali..una ujauzito kama ndi hiko ni kitu cha kawaida wanasayanzi wanasema ukiona kiungulia sana ujue ttoto dume ndani anaenda haja...la kukusaidia cheki na dk .kwa msaada zaidi...ila kama cha kawaida jaribu kula vitunguu saumu 5 daili sagia kwenye meno mezaaaaa
 
Kwa kutumia common sense tuangalie hio heartburn au acid reflux inasababishwa na nini na vipi namna ya kuzuia.

Mimi nakumbuka nilipokuwa nasma shule za bweni nilikuwa nikisumbulia na tatizo hili lakini nikalikabili.

Heartburn inasababishwa na vitu vifuatavyo:

Chai, kahawa na vinywaji vyote zilivyo na caffeine

Caffeine inasababisha kulegeza misuli ya tumbo na kusababisha mabaki ya chakula kilichosagwa ku-reflux(ujazo) kwenda kwenye esophagus.

Chocolate

Chocolate inakitu kinaitwa theobromine ( kitu kinachopatikana kwenye mimea kama cocoa, chai na kahawa), ambayo pia inalegeza esophageal sphincter muscle,(mshipa wa njia ya chakula) na kusababisha chakula chenye acid kujirusha juu kwenda kwenye esophagus.

Vyakula vya kukaanga na vyenye mafutamafuta

Vyakula hivi zinachelewesha usagaji wa chakula na kusababisha kuweka chkula hichihichi kwenye tumbo kwa muda mrefu, hali inayosababisha mfumuko wa chakula hicho kwennda tena kwenye njia ya chakula. Ndio utakuta unabeua kila wakati.

Nyanya

Pombe
Pombe inaongeza acid tumboni.

Sigara

Kula chakula kingi kupita kiasi

Juisi za makopo

Citrus fruits and juices

Kula masaa 2 au matatu chakula kingi kabla ya kulala.

Namna ya kupunguza au kuondokana na tatizo hili ni kuondokana na utumiaji au kula kiasi na kwa wakati muafaka kwa mfano unaweza kula chakula cha jioni kwenye saa moja za jioni na sio kula saa nne ya usiku tena ukiwa online kwenye JF.

Haya ni maoni yangu tu kutokana na experience.

Nakubalina na wewe.
 
Take 0ne tea spoon of pure honey and mix it with warm water a glass full.
Drink it after night meal..
You'll see the results sooner..\everyday is fine -no harm..better tahn tahing tablets and other modern medicines.this is indian herbal remedy..i have tried it itn works!!!!!!!!!
 
Wakuu,
Ushauri wenu umekuwa wa manufaa sana,.
Mhusika amechambua na kuzingatia ushauri wenu na sasa ana nafuu kubwa sana.
Asanteni.
 
Kule kwetu ikikupata hii tunakunywa magadi. Yale ya kutengeneza kiburu. Kwa huku naona wengine wanakulaga majivu. Mimi nikinywa maziwa fresh huwa namaliza kabisa. Au labda kwa kuwa cha kwangu kinasababishwa na mitungi.

aika meeku, chamecha
 
naomba wanajamii mnisaidie tiba ya nyongo, nikipiga bia tatu natapika sana nyongo nifanyaje
 
dawa ya heartburn ni nyongo

heartburn ni matokeo ya acid kujireflux kwenda kwenye oesophagus so ili kuidhibiti unatakiwa upate kitu ambacho ni alkaline/base au kwa kiswahili nyongo,mmesahau somo la sayansi darasa la sita enzi zile katika somo la mfumo wa mmeng'enyo wa chakula?

so muuliza swali angesema anataka dawa ya heartburn au kiungulia kwa kiswahili

majibu ya dawa amepewa katika post zilizopita
 
Back
Top Bottom