Dawa ya mke wako akiwa na hasira

LD hata mie sijaelewa hii thread imenishangaza ngoja nikalale na izi stress za maisha ziende mapumziko kidogo DAH KUMBE DAWA YETU NI HII
 
Napenda sana kusoma vipande vyako Lizzy huwa unatulia nakutafakari ndo unajibu hata ukijibu kwaukali lakini huwa ni kisu. hata mimi nilifkiri inawezekana kweli maana hiyo ni nusu fumanizi halafu jamaa anatufix kalamzigo, wee acha wewee basi mkeo kachanjiwa ya fisi maji ukimgusa tu unakula.
Naogopa kutoa mchango wangu!Nwy hongera kwakupata jinsi ya kutuliza hasira za mkeo...ila kwa mtu anaehisi amecheat na bado akakubali?Hongera sana!
 
Napenda sana kusoma vipande vyako Lizzy huwa unatulia nakutafakari ndo unajibu hata ukijibu kwaukali lakini huwa ni kisu. hata mimi nilifkiri inawezekana kweli maana hiyo ni nusu fumanizi halafu jamaa anatufix kalamzigo, wee acha wewee basi mkeo kachanjiwa ya fisi maji ukimgusa tu unakula.

Asante sana mpendwa!Hahaha yani nimejaribu kujiweka kwenye position ya huyo mwanamama ikashindikana kabisa!
 
kichwangumu umeuwasha moto,wabeijing watakuandama hapa,hujamtendea haki my wyf wako

Unafikiri hata ana mke basi, aakha...watoto wa sekondari skuli hawa wanakuja na habari zao wanazopeana vijiweni wanajua hapa JF kuna wazima kwa hiyo ana posti ili aone wakubwa watachangiaje na yeye apate cha kuongea huko kijiweni kwao!
 
Yaani ili methodology iwe objective and systematic, alilazimika kuwakorofisha subjects hao (wadada) kwa namna inayofanana na kiwango sawa katika mazingira sawa.

Kisha baada ya kuwakorofisha akitakiwa a-test hiyo tiba yake kwa wote, katika mazingira sawa, kwa kiwango sawa, na kwa utamu sawa. Akitakiwa arekodi matokeo kwa namna inayofanana.

Ethical clearence ya utafiti kama huu inatolewa na WHO makao makuu.

asante mkuu, duuu
 
Nimewahi kushuhudia polisi akimshauri mtuhumiwa atumie mbinu hii ili kuepuka kesi ya shambulizi dhidi ya mkewe. Mtuhumiwa kweli alifanikiwa na kufutiwa shitaka, ila sijajua kama mbinu hii ina apply kwa kila mwanamke.
 
Hi members!
nimefanya utafiti kidogo uliojumuisha wasichana na wanawake kumi ninaofanyanao kazi na mke wangu nyumbani nimegundu kuwa mke wako akiwa amekasilika mpaka mkashindwa kuelewana jaribu kum-bembeleza kadri uwezavyo ufanye nae mapenzi na ukibahatika kufanyae liwe penzi la ukweli ukimaliza hapo hasira zake zote zimeisha atabaki kukwambia usirudie tena ulichofanya.

jana nilihitimisha utafiti wangu baada ya kutoelewana na mke wangu kwa sababu alikuwa na habari ambazo alikuwa na uhakika nazo kwa 70% kuwa nainauhusiano na mwanamke mwingine; kiukweli taarifa hizo ni kweli ingawa sijawahi kufanya mapenzi na huyo mwanamke.

chumbani kulikuwa hakukaliki mke wangu alikuwa ananipiga na huku akimpigia simu mwanamke huyo ambae nahisiwa nae, mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa anasema habari hizo ni za kweli na kumtajia mida tunayokutana na mahaba tunayo peana ingawa kiukweli havikuwa vitu vya ukweli.
nilimwacha mke wangu anipige na baadae nikambembeleza na nikamtaka mapenzi akasita sita na baadae akanipa baada ya kale kamchezo katamu tulipiga stori safi, kama siye yeye.

wana JF give your exp.

Mkuu nakubaliana na matokeo ya research yako..... labda tu kuongezea kwenye writeup yako na kujaribu kuelezea kisayansi zaidi ni kwamba wakati na baada ya gemu (hasa kama wote mta maliza) mwili wa binadamu huwa unatoa chemical moja inaitwa "oxytocin".....na kwa kifupi hii chemical inafanya kama hivo .......

(Source Wikipedia)
........Oxytocin evokes feelings of contentment, reductions in anxiety, and feelings of calmness and security around the mate.[18] Many studies have already shown a correlation of oxytocin with human bonding, increases in trust, and decreases in fear. One study confirmed that there was a positive correlation between oxytocin plasma levels and an anxiety scale measuring the adult romantic attachment.[19] This suggests that oxytocin may be important for the inhibition of brain regions that are associated with behavioral control, fear, and anxiety,......
 
Unafikiri kesi imeisha kwa hivyo tu? Subiri siku ingine utaniambia. Hiyo imewekwa kwenye faili vizuuuuriiii, itafumuliwa huko wakati wowote tena itaongezea uzito tu kwenye zengwe lako lingine. We haya weeee!
 
Hi members!
nimefanya utafiti kidogo uliojumuisha wasichana na wanawake kumi ninaofanyanao kazi na mke wangu nyumbani nimegundu kuwa mke wako akiwa amekasilika mpaka mkashindwa kuelewana jaribu kum-bembeleza kadri uwezavyo ufanye nae mapenzi na ukibahatika kufanyae liwe penzi la ukweli ukimaliza hapo hasira zake zote zimeisha atabaki kukwambia usirudie tena ulichofanya.

jana nilihitimisha utafiti wangu baada ya kutoelewana na mke wangu kwa sababu alikuwa na habari ambazo alikuwa na uhakika nazo kwa 70% kuwa nainauhusiano na mwanamke mwingine; kiukweli taarifa hizo ni kweli ingawa sijawahi kufanya mapenzi na huyo mwanamke.

chumbani kulikuwa hakukaliki mke wangu alikuwa ananipiga na huku akimpigia simu mwanamke huyo ambae nahisiwa nae, mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa anasema habari hizo ni za kweli na kumtajia mida tunayokutana na mahaba tunayo peana ingawa kiukweli havikuwa vitu vya ukweli.
nilimwacha mke wangu anipige na baadae nikambembeleza na nikamtaka mapenzi akasita sita na baadae akanipa baada ya kale kamchezo katamu tulipiga stori safi, kama siye yeye.

wana JF give your exp.

Somo kuu hapa nikusema unapomkosea mkeo husiwe mkali na kuanza kupigana ndani ya nyumba badala yake we kuwa tu mpole, wakati yeye kakasilika. Ukipata mwanya anza kumbembeleza na ukifanikiwa kumtuliza hadi kumbwaga chini kwa ajili ya majamboozi hapo umefuta kesi!
 
Hi members!
nimefanya utafiti kidogo uliojumuisha wasichana na wanawake kumi ninaofanyanao kazi na mke wangu nyumbani nimegundu kuwa mke wako akiwa amekasilika mpaka mkashindwa kuelewana jaribu kum-bembeleza kadri uwezavyo ufanye nae mapenzi na ukibahatika kufanyae liwe penzi la ukweli ukimaliza hapo hasira zake zote zimeisha atabaki kukwambia usirudie tena ulichofanya.

jana nilihitimisha utafiti wangu baada ya kutoelewana na mke wangu kwa sababu alikuwa na habari ambazo alikuwa na uhakika nazo kwa 70% kuwa nainauhusiano na mwanamke mwingine; kiukweli taarifa hizo ni kweli ingawa sijawahi kufanya mapenzi na huyo mwanamke.

chumbani kulikuwa hakukaliki mke wangu alikuwa ananipiga na huku akimpigia simu mwanamke huyo ambae nahisiwa nae, mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa anasema habari hizo ni za kweli na kumtajia mida tunayokutana na mahaba tunayo peana ingawa kiukweli havikuwa vitu vya ukweli.
nilimwacha mke wangu anipige na baadae nikambembeleza na nikamtaka mapenzi akasita sita na baadae akanipa baada ya kale kamchezo katamu tulipiga stori safi, kama siye yeye.

wana JF give your exp.

ha ha ha ha!
Hujatulia wewe.
Nikiwa na mihasira nyege zote kwishne.
 
mh nyie ndo wale wanaume mnahitaji kitchen party nini kuanika mambo ya chumbani na mkeo humu heeeeeeeeeeee na baada ake ilikuwaje hujamalizia story,
huo ndo unafki wenyewe yani umemponda kwa kuanika mambo ya chumbani humu then untaka aendelee kusimulia ilikau hebu acha ushankupe we bibi
u
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom