Dawa ya mke wako akiwa na hasira

Kichwa Ngumu

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,726
312
Hi members!
nimefanya utafiti kidogo uliojumuisha wasichana na wanawake kumi ninaofanyanao kazi na mke wangu nyumbani nimegundu kuwa mke wako akiwa amekasilika mpaka mkashindwa kuelewana jaribu kum-bembeleza kadri uwezavyo ufanye nae mapenzi na ukibahatika kufanyae liwe penzi la ukweli ukimaliza hapo hasira zake zote zimeisha atabaki kukwambia usirudie tena ulichofanya.

jana nilihitimisha utafiti wangu baada ya kutoelewana na mke wangu kwa sababu alikuwa na habari ambazo alikuwa na uhakika nazo kwa 70% kuwa nainauhusiano na mwanamke mwingine; kiukweli taarifa hizo ni kweli ingawa sijawahi kufanya mapenzi na huyo mwanamke.

chumbani kulikuwa hakukaliki mke wangu alikuwa ananipiga na huku akimpigia simu mwanamke huyo ambae nahisiwa nae, mbaya zaidi mwanamke huyo alikuwa anasema habari hizo ni za kweli na kumtajia mida tunayokutana na mahaba tunayo peana ingawa kiukweli havikuwa vitu vya ukweli.
nilimwacha mke wangu anipige na baadae nikambembeleza na nikamtaka mapenzi akasita sita na baadae akanipa baada ya kale kamchezo katamu tulipiga stori safi, kama siye yeye.

wana JF give your exp.
 
hahahhaha na hayo mapenzi yenyewe uwe unayaweza maana badala ya kutuliza unaweza jikuta umetibua:wink2:
 
mh nyie ndo wale wanaume mnahitaji kitchen party nini kuanika mambo ya chumbani na mkeo humu heeeeeeeeeeee na baada ya kamchezo kesho yake ilikuwaje hujamalizia story,
 
hahahhaha na hayo mapenzi yenyewe uwe unayaweza maana badala ya kutuliza unaweza jikuta umetibua:wink2:

mh bora umesema shosti maana waeza kuta alikuwa anafanya huku mwenziwe anamngonga hapo sasa kazi kweli kweli
 
Mkuu umesema kuwa katika utafiti wako ulijumuisha wasichana na wanawake kumi unaofanya nao kazi na mke wako nyumbani. So far umetupa results zinazomhusu mke wako tuu. Vipi results za hao wasichana na wanawake unaofanya nao kazi? Na wao walituliza hasira na kukupa tunda baada ya kuwabembeleza? Waiting for Chapter two.
 
mh nyie ndo wale wanaume mnahitaji kitchen party nini kuanika mambo ya chumbani na mkeo humu heeeeeeeeeeee na baada ya kamchezo kesho yake ilikuwaje hujamalizia story,
Habari ilikwisha kilichobaki tunataniana tu
 
Mkuu umesema kuwa katika utafiti wako ulijumuisha wasichana na wanawake kumi unaofanya nao kazi na mke wako nyumbani. So far umetupa results zinazomhusu mke wako tuu. Vipi results za hao wasichana na wanawake unaofanya nao kazi? Na wao walituliza hasira na kukupa tunda baada ya kuwabembeleza? Waiting for Chapter two.
khe khe kheeheheheeeeeeeeeee... afadhali umegundua kwamba hakuna risechi wala nini, ni kaja kutoa siri za nyumbani tu, na si ajabu hajaoa wala kuolewa huyo.... mwanandoa mkomavu hatoi siri zake hata iweje
 
kichwangumu umeuwasha moto,wabeijing watakuandama hapa,hujamtendea haki my wyf wako
 
Mkuu umesema kuwa katika utafiti wako ulijumuisha wasichana na wanawake kumi unaofanya nao kazi na mke wako nyumbani. So far umetupa results zinazomhusu mke wako tuu. Vipi results za hao wasichana na wanawake unaofanya nao kazi? Na wao walituliza hasira na kukupa tunda baada ya kuwabembeleza? Waiting for Chapter two.

Saba kati yao walikubali na watatu kati yao hawakukubali wala hawakukataa ila walisema hawaja wahi kubwa na hali kama hiyo pia walikuwa na wasiwasi kama unahasira unawezaje kukubali kufanya mapenzi.
hii mada niliipata baada ya kumsikia msichana mmoja ofisini akiwaambia wenzake wawili kuwa yeye akiuziwa na mumewe wakifanya mapenzi tuu mauzi yote huisha ndipo nami nikaichukua nakuanza kuifanyia kazi
 
mh nyie ndo wale wanaume mnahitaji kitchen party nini kuanika mambo ya chumbani na mkeo humu heeeeeeeeeeee na baada ya kamchezo kesho yake ilikuwaje hujamalizia story,

Hajakosea tena nimeipenda hii. Unapopata solution jitahidi uwaambie wenzako ili nao watumie hiyo njia kutatua shida zao usiwe mchoyo.
 
Saba kati yao walikubali na watatu kati yao hawakukubali wala hawakukataa ila walisema hawaja wahi kubwa na hali kama hiyo pia walikuwa na wasiwasi kama unahasira unawezaje kukubali kufanya mapenzi.
hii mada niliipata baada ya kumsikia msichana mmoja ofisini akiwaambia wenzake wawili kuwa yeye akiuziwa na mumewe wakifanya mapenzi tuu mauzi yote huisha ndipo nami nikaichukua nakuanza kuifanyia kazi

Kwa hiyo utafiti uliofanya kwao hakuwa practical kama ule uliomfanyia mkeo. Huoni kama hili linaaffect validity ya utafiti wako. Umetumia methods tofauti kwenye sample moja, then unataka kuevaluate as applicable to all.
 
Shosti kasema kweli, hii dawa ni nzuri kama mchezo unauweza. Vinginevyo ndo utaharibu kabisaaaaa
 
kweli we kichwa ngumu,kama una small house iweje umpe no yake mkeo au umemsave kama nani? kuwa mjanja wa kusave kiburudisho kwa jian la kiume na umualert mapema mida ya kupigiana simu iwe mchana akiona simu ya usiku asipokee na pia asiwe anajibizana na mkeo huyo atakuvunjai ndoa sasa hivi.Lingine asiwe anakutumia message za mapenzi kwani hajui umeoa??? kwani hajui kuwa wewe ni wa kuburudishana tu?? hakuna kitu kibaya kama mkeo akuhisi una nyumba ndogo wanapoteza imani kabisa na ww hata kama hujamla tundi huyo dada....sijaelewa na hao wengine unaofanya nazo kazi kama hujawachakachua wote manake umesema umefanya utafiti hivo lazima uwe umetembelea maenneo ya matukio hahahahahhaaaaaaaaaa/
 
Naogopa kutoa mchango wangu!Nwy hongera kwakupata jinsi ya kutuliza hasira za mkeo...ila kwa mtu anaehisi amecheat na bado akakubali?Hongera sana!
 
Kwa hiyo utafiti uliofanya kwao hakuwa practical kama ule uliomfanyia mkeo. Huoni kama hili linaaffect validity ya utafiti wako. Umetumia methods tofauti kwenye sample moja, then unataka kuevaluate as applicable to all.

Yaani ili methodology iwe objective and systematic, alilazimika kuwakorofisha subjects hao (wadada) kwa namna inayofanana na kiwango sawa katika mazingira sawa.

Kisha baada ya kuwakorofisha akitakiwa a-test hiyo tiba yake kwa wote, katika mazingira sawa, kwa kiwango sawa, na kwa utamu sawa. Akitakiwa arekodi matokeo kwa namna inayofanana.

Ethical clearence ya utafiti kama huu inatolewa na WHO makao makuu.
 
Dawa nzuri tatizo akiwa kwenye siku zake (bleeding) sijui utafanyaje kumuondoa hasira !!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom