Dawa ya meno Whitedent ichunguzwe

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,298
12,600
Wako watu wengi pamoja na mimi mwenyewe ambao wakitumia dawa ya meno aina ya Whitedent wanatoka vidonda mdomoni vinavyosababisha kikohozi cha mara kwa mara. Idadi ni kubwa sasa imenibidi niwaulize wanajukwaa kama mna taarifa na madhara haya ya Whitedent.

Taarifa kwa umma inahitajika kuelezea side effects hizi za whitedent. Kama unatumia dawa hii na vidonda na kikohozi haviishi kwako ama kwa mmoja wa wanafamilia yako acha kuitumia whitedent kwanza ili uone kama hali inaendelea vile vile au la. kama bado inaendelea kamuone dk. tbs sogeeni karibu na whitedent ili muuone kama kinachofanywa ni sasa huko
 
Wako watu wengi pamoja na mimi mwenyewe ambao wakitumia dawa ya meno aina ya Whitedent wanatoka vidonda mdomoni vinavyosababisha kikohozi cha mara kwa mara. Idadi ni kubwa sasa imenibidi niwaulize wanajukwaa kama mna taarifa na madhara haya ya Whitedent. Taarifa kwa umma inahitajika kuelezea side effects hizi za whitedent. Kama unatumia dawa hii na vidonda na kikohozi haviishi kwako ama kwa mmoja wa wanafamilia yako acha kuitumia whitedent kwanza ili uone kama hali inaendelea vile vile au la. kama bado inaendelea kamuone dk. tbs sogeeni karibu na whitedent ili muuone kama kinachofanywa ni sasa huko
mkuu huenda unachosema ni kweli!kuna mtoto katika familia yangu amemaliza chupa kibao kikohozi hakiishi!!huenda ni hiyo kitu eeeh!!ngoja nifanye kijiuchunguzi!
 
Naona tuko wengi. Mimi ni mtumiaji wa whitedent. Kwa muda wa kama wiki moja nimekuwa na kikohozi. Na bila kuwa na contact yoyote zaidi ya chakula maji ya kilimanjaro nimeshitukia kinywani mwangu mna aina fulani ya mild inflammation mithili ya tonsils.

Naiacha whitedent toothpaste leo hii hii nione kama kutakuwa na mabadiliko.
 
Toothpaste zipo nyingi feki sana jitahidi kutonunua zile zinazowekwa chini na kunadiwa nunua kwa Agent wa dawa hizo,mie ni Colgate tu ndio naijua taste yake wakiichakachua naijua na pia epuka kununua za bei rahisi.
 
ahaaaaaa! mi nae mwathiliwa aisee, natumia maji ya duka full tym bt huwa inflamation zinajitokeza
 
hiyo dawa haifai, ukiendelea kutumia fizi zinauma na baadae kufa ganzi
 
hiyo dawa haifai, ukiendelea kutumia fizi zinauma na baadae kufa ganzi

ohooooo.....sasa nimejua......
nikitumia hiyo whitedent meno yanakufa ganzi na ninakuwa na vidonda mdomoni......niliamua kubadilisha kwa sasa natumia forever bright (ya forever living)....ni nzurijeeeee......
 
Mara nyingi huwa naogopa sana vitu vya bei rahisi. Imagine WD 250g bei ni 2000tshs (variable) na Colgate 100g bei ni ths 2500 (variable). Kwa vyovyote vile ubora lazima utofautiane sana tu!!!!
 
sio whitedent tuu, na mafuta ya kupaka na sabuni, ukipita mitaa ya buguruni usiku utaona hilo sokô huria linavyofanya kazi
 
wako watu wengi pamoja na mimi mwenyewe ambao wakitumia dawa ya meno aina ya whitedent wanatoka vidonda mdomoni vinavyosababisha kikohozi cha mara kwa mara. Idadi ni kubwa sasa imenibidi niwaulize wanajukwaa kama mna taarifa na madhara haya ya whitedent. Taarifa kwa umma inahitajika kuelezea side effects hizi za whitedent. Kama unatumia dawa hii na vidonda na kikohozi haviishi kwako ama kwa mmoja wa wanafamilia yako acha kuitumia whitedent kwanza ili uone kama hali inaendelea vile vile au la. Kama bado inaendelea kamuone dk. Tbs sogeeni karibu na whitedent ili muuone kama kinachofanywa ni sasa huko

mmmmmmmmmm asante inaweza ikawa chanzo cha matatizo nilio nayo let me try but mbona nikiacha kutumia siku moja au mbili naumwa meno
 
Mimi pia iliwahi kunipata. lakini nilinunua WD mtaani hivyo nadhani ilikuwa ime expire au ilikuwa feki.
Niliacha WD kwa muda ila sasa natumia tena na haina shida.
usinunue dawa kariakoo au kwenye mikokoteni!
 
hiyo dawa haifai, ukiendelea kutumia fizi zinauma na baadae kufa ganzi

Aisee huenda ni kweli, nilikuwa field na nilisahau dawa na brush, so the only toothpaste l could get in the village was WD; na nikapata hiyo inflamation kiasi karibu na tonsils.
 
whitedent feki zipo kibaaaaao....
Niliacha kutumia kitambo, mara ya mwisho mpaka nikaogopa nilihisi natumia chokaa badala ya dawa ya meno, nikaona isiwetabu nikaacha kutumia
 
Wako watu wengi pamoja na mimi mwenyewe ambao wakitumia dawa ya meno aina ya Whitedent wanatoka vidonda mdomoni vinavyosababisha kikohozi cha mara kwa mara. Idadi ni kubwa sasa imenibidi niwaulize wanajukwaa kama mna taarifa na madhara haya ya Whitedent. Taarifa kwa umma inahitajika kuelezea side effects hizi za whitedent. Kama unatumia dawa hii na vidonda na kikohozi haviishi kwako ama kwa mmoja wa wanafamilia yako acha kuitumia whitedent kwanza ili uone kama hali inaendelea vile vile au la. kama bado inaendelea kamuone dk. tbs sogeeni karibu na whitedent ili muuone kama kinachofanywa ni sasa huko

Tumia whitedent Herbal
 
Hamna zaidi aloe bright toothgel ya forever living. Rahisi inauwa.nimebakiza chache. 0713297066. Na bado mtalishwa sumu mpaka mfe!!!. Umesikia wanaokula kuku wenye arv feki wananyonyoka ngozi?
 
Back
Top Bottom