Dawa ya kuwadhibiti ngedere shambani!

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,638
8,403
Tumia mbinu zote chini ya uwezo wako, Umpate ngedere mmoja akiwa hai, ukifanikiwa kumpata mnyoe kipala kichwani, kisha mpake rangi nyeupe na nyekundu! mshonee shati la kiroba mvike, mvishe na kengele shingoni. Muachie afuate wenzie! Wenzie wakimuona watamkimbia kila anavyo jitahidi kuwafuata na kijiji watahama! mpaka afe kama hawaja sahau watarudi! Magamba ruksa kutumia hiyo mbinu au ndio mnayotumia?
 
Back
Top Bottom