Jamani naombeni msaada pliz. Kuna kipind nlipima hosp nkakutwa na tatizo la homon imbalance, nikawa sipat perio vzuri, sasa ishu ni kwamba tokea nimegundulika na hilo tatizo, nimeanza kuota nywele, yaan vinyweleo vinazidi kua vingi na pia ndevu zimeanza kuota. Sipend ndevu ukizingatia mimi ni mdada na sikuwah kuwa nazo. Situmii cream yoyoye wala usoni sipakagi mafuta. Naombeni mniambie dawa isiyo na madhara. Heeelp pliz