Dawa ya kutibu polisi katika maandamano

njiwamanga

Member
Oct 21, 2010
35
3
Ili demokrasia ya kutoa maoni kwa njia ya maandamano isiingiliwe na jeshi la polisi imegunduliwa dawa.Dawa hiyo ni kuwa iwapo polisi wataingilia maandamano na kupiga,na kuua watu ktk maandamano basi jamii na hasa vijana walipze kisasi kwa familia au ndugu zao ambao wapo uraiani kwa kuwafanyia kitendo kile kile walichofanya polisi kwa waandamanaji.changia hoja hii
 
Sidhani kama tunataka kufika huko kupoteza uhai wa mtu ambae hajausika. Fikiria wewe ni ndugu yake afande nanihii uuliwe kwa ajili ya ndugu yako? TAFAKARI.
 
Tatizo huwa ni vigumu sana kumjua ni askari gani kaua kwa kuwa huwa wanavaa helmet na kuziba nyuso zao hivyo kutokuwa rahisi kuwatambua,hata hivyo tukumbuke kuwa ile ni kazi kama zilivyo kazi nyingine na wao kwa kuwa wanafuata amri zaidi hivyo huwa ni vigumu sana kutotii amri za wakubwa zao,la maana ni kutafuta njia nyingine mbadala hii ya kulipiza kisasi kwa style hiyo hakuna atakayebaki salama.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom