Dawa ya kutibu kiungulia

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wapendwa...

Nasumbuliwa sana na kiungulia mwenye kujua dawa yake aniambie...thanks in advance...
 
Wapendwa...

Nasumbuliwa sana na kiungulia mwenye kujua dawa yake aniambie...thanks in advance...

Kiungulia si ugonjwa, ni dalili...unaweza kuwa busy kutuliza dalili kumbe unaacha ugonjwa uendelee. mara nyingi ni dalili ya acid nyingi tumboni, sasa nini kinasababsiha acid iwe nyingi tumboni? Au labda ni kiasi cha kawaida cha acid lakini ukuta wa tumbo lako uko weak na unashindwa kuhimili hiyo acid (mfano ukiwa na gastritis, ulcers) unahitaji kumona daktari akusaidie. Au atleast toa maelezo marefu ili upate ushauri wa kina zaidi.
 
Asante! ladba nikueleze tuu last week nilikuwa na malaria nikatumia Duo-cortexin sorry sijui kama nimepatia hilo jina dozi yake nilimaliza last week siku ya ijumaa sasa naona since yesterday nimepata kiungulia kikali...ila huko nyuma nilikuwa na dalili za ulcers but nilishapewa dawa hapo aghakhan na ilitulia kabisa mkuu...
 
una gesi kunywa maziwa kwa wingi baridi lakini sio sana iwe kidogo na ubaridi na kuna vidonge vya kufyonza vya gesi wanauza pharmacy jina nimesahau lakini ununue vilivyokuwa na bei ya juu kidogo ndo nzuri kuna za kupima siyo nzuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom