Mjadala: Ni ipi dawa ya kutibu maumivu ya jino bila kung'oa?

Kuna aina mbili ya matibabu..
Kienyeji au kizungu?

Yoyote ile daaah imrad nipone tu best
 
Jino likishaanza kusumbua hakuna mbadala zaidi ya kung'oa zingine zote zitatuliza maumivu kwa muda na siku likichachamaa utajikuta kwa dr alfajiri
 
ule usemi wa dawa ya jino ni kuling'oa nadhani unahitaji kuthibitishwa kwako!pole sana
 
Jino linanisumbua sana kwa sasa yaan kama mnavyojua maumiv ya jino usiku hakuna usingizi wala nn utafikiri godoro lina maji
Daah nlikua nahitaji kujua dawa ya jino tofaut na kulin'goa

DAWA YAKUTIBU MENO NA FIZI

1) Tangawizi ya unga unachanganya pamoja na chumvi kisha unapiga mswaki. Hii inaondosha maumivu ya kuumwa na meno na kuvimba na ufizi na pia kutoa meno harufu mbovu.

2) Maji ya moto na chumvi uwe unasukutuwa kwa mara 3 au 4 kwa siku. Hii inaondosha kuvimba na ufizi na maumivu makali ya meno.

3) Kutafuna karafuu pia inasaidia kuondosha maumivu na uvimbe na harufu.

Tumia mojawapo kati ya hizo Dawa hapo juu ukisha pona uje utupe feedback.

ukiwa na matatizo yako ya kibinafsi wasiliana na mimi kwa njia ya baruwa ya pepe email Address yangu hii

hapa fewgoodman@hotmail.com
 
Kazi nzuri mzizimkavu!!
 
Mimi nimetoa jino jana Kinondoni Hospital, huduma niliopewa pale ni ya kiwango cha juu,sijasikia maumivu hata kidogo, na dr aliniambia nikisikia maumivu niseme.

Kabla ya jana kutoa, nimetoa jino mara mbili Hospital Sinza Palestina,maumivu niliopata nilisema siwezi tena kutoa jino,kuna jino likawa linasumbua tena, nikaenda mbagara kutoa, nako nilipata maumivu wakati wa kutoa,nikasema sitoi tena,ila likajitokeza jino kama miaka mwaka mmoja uliopita, nikawa nasitasita nikifikilia Maumivu ya Koleo, ila jana nilivyoenda kinondoni, Dr akaniambia kiutaratibu mgonjwa hatakiwi kusikia maumivu, nikaona Uongo.

Ila nashukuru katoa bila maumivu yoyote
 
Weka unga wa karafuu kwenye sehemu iliyotoboka litatulia.

Je, mzizi mkavu cna karafuu unga wake nikachukua ile karafuu yenyewe nkatwanga halaf nkatia pale itasaidia
 
Jino linanisumbua sana kwa sasa yaan kama mnavyojua maumiv ya jino usiku hakuna usingizi wala nn utafikiri godoro lina maji
Daah nlikua nahitaji kujua dawa ya jino tofaut na kulin'goa

Pata Kitu cha Colorado AU Uruguay Utapona Haraka Sana.
 
weka unga wa karafuu kwenye sehemu iliyotoboka litatulia.

Mkuu mzizimkavu mimi pia nina tatizo la meno ila yangu hayaumi ilianza kitobo katikati ya meno mawili ya juu baadae ikawa kama mwanya nikaenda hospital wakaziba baada ya muda pakaachia kuna mtu akaniambia pameachia sababu ya moshi maana navuta sana bange sasa ule uwazi unazidi kuongezeka nahofia miaka michache ijayo nitakuwa na mapengo tena reception nahisi kuna mdudu anakula meno yangu msaada mkuu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom