Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dawa ya kusafisha tumbo baada ya kujifungua

Discussion in 'JF Doctor' started by Tingitane, Mar 12, 2013.

 1. T

  Tingitane Member

  #1
  Mar 12, 2013
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari za asubuh wana JF naomba msaada kwamba utaratibu wa kusafisha tumbo baada ya kujifungua ukoje na dawa zake ni zip?? Ahsante
   
 2. damian marijani

  damian marijani JF-Expert Member

  #2
  Mar 12, 2013
  Joined: Jan 31, 2010
  Messages: 475
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 18
  Tumbo lina maana pana sana kwa kiswahili. Kama ni tumbo la uzazi huna haja ya kufanya lolote,unachohitaji ni usafi wako wa kawaida na kubadilisha pads kwa muda wake. Usitawaze kwa kutia maji au vidole ndani ya uke kwani unaingiza germs ndani ya kizazi chako. Kama ni tumbo la chakula kama unahisi au una dalili za minyoo tafuta dawa za minyoo zipo over the counter katika pharmacy.
   
Loading...
Similar Threads - Dawa kusafisha tumbo Forum Date
Dawa ya kusafisha Tumbo (Msaada) JF Doctor Mar 21, 2015
Natafuta dawa ya kusafisha damu, inaitwa SAFI JF Doctor Mar 14, 2015
Dawa ya asili ya kusafisha figo. JF Doctor Mar 14, 2014
Je kuna dawa ya kusafisha na kutibu meno yaliyooza? JF Doctor Nov 4, 2010

Share This Page