Utunzaji wa nywele za asili

Za Eid wana JF..
Hivi karibuni nywele zangu naona zinanipa shida kiasi,
hazikui haraka,kuchana scalp inaumaa si kama zamani afu zimekuwa kavu, kwa urefu nywele si ndefu sana pia si fupi,naweza kubana,kusuka na kustyle vyovyote nipendavyo,pia sio chache kichwani zimejaa kawaida tu,ishu ni huo ukavu,zinakatika hadi nasikia uchungu,
naomba ushauri wa mafuta yapi mazuri ya kupaka,kwa jina na bei na yanapopatikana ili nitumie nywele ziwe laini zisikatike wala kuuma..
Ninatumia dawa nywele sio natural...ila si mbaya pia nikajua mafuta mnayotumia wenye 'natural' kulainisha nywele
Nawasilisha
 
Umeweka dawa na bado ni ngumu kuchana? Labda ubadilishe stylist.

sijui mafuta ya nywele za dawa. nakushauri uzilock nywele zako ili uwe na natural hair. Zaidi ya kuziosha kila wiki, unalock na mafuta, na unakuwa na spray tu unatumia mara chache. Nywele hazikatiki, hazikauki, hazipati mba na utasahau hata bei ya kitana.
 
thanks d,zinakuwaga laini baada ya kuretouch tu,zikianza kuota ni sheshe...mhh dreadlocks ,nikiwaza kukata hizi nianze moja kitakua lini kipilipili changu mweeh..
 
Tumia mafuta ya Vaida product ya Zimbabwe. Haya unapaka kwenye ngozi juu kwenye nywele pakaa mafuta ya
T - tree. Pia ningekushauri uzilock uwe na natural hair. Dawa za hair relaxer sio safe sana kwa long term use. Take it or leave it.
 
Ukiweka dreadlock nywele zinakua haraka sana utashangaa. Na kipilipili is the best hair for it. Give it a try utaona.

(ila mie nafurahia kipara zaidi. No fussy, no hustle )
thanks d,zinakuwaga laini baada ya kuretouch tu,zikianza kuota ni sheshe...mhh dreadlocks ,nikiwaza kukata hizi nianze moja kitakua lini kipilipili changu mweeh..
 
Tumia mafuta ya Vaida product ya Zimbabwe. Haya unapaka kwenye ngozi juu kwenye nywele pakaa mafuta ya
T - tree. Pia ningekushauri uzilock uwe na natural hair. Dawa za hair relaxer sio safe sana kwa long term use. Take it or leave it.

okay thanx
 
Umeweka dawa na bado ni ngumu kuchana? Labda ubadilishe stylist.

sijui mafuta ya nywele za dawa. nakushauri uzilock nywele zako ili uwe na natural hair. Zaidi ya kuziosha kila wiki, unalock na mafuta, na unakuwa na spray tu unatumia mara chache. Nywele hazikatiki, hazikauki, hazipati mba na utasahau hata bei ya kitana.

una dreadlocks King'asti?
 
Last edited by a moderator:
Jaman kama kuna aliyefanikiwa na hizo njia anijuze,maana nami nywele zangu ni tata mnoo! Nlikata nkaanza upya,sijatia dawa ni natural! ila ukifumua kuchana zinavopukutika had nataman lia afu haziwi refu japo zimejaa na nikipilipili
 
Wadau,

Nataka kuwa na nywele ndefu za mtindo wa Afro zenye mwonekano wa asili (natural). Ni mafuta gani nitumie yatakayorefusha nywele zangu ndan ya muda mfupi? Ntashukuru ukinitajia jina ili nikienda Duka la vipodozi au Pharmacy nifike tu na kutaja jina la nilichokifata.
 
Karibu Oriflame kwa bidhaa bora za nywele, tuna mafuta ya kujaza na kurefusha nywele pia yenye ubora na yaliyodhibitishwa na wataalam wa uhakika..karibu
 
Nataka jina la hayo mafuta
Kuna Hair X,Advanced Hair X, Na HairX Restore Therapy....
Screenshot_2016-09-11-18-59-22.png
Screenshot_2016-09-11-19-00-02.png
Screenshot_2016-09-11-19-01-46.png
 
Back
Top Bottom