Dawa ya KUPUNGUZA nguvu za KIUME

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Wakuu kama kuna mtu anayejua dawa hii.

"Ndoa inataka vunjika kwa kuwa purupushani zimezidi wife halali kabisa na weekend ni mwendo wa taulo friday evening to monday morning, wife analalamika sana anasema hajawahi ona mtu anayepiga mzigo kiasi hiki"

Nadhani hii itakuwa ni ugonjwa

MJ
 
Nadahni wewe umeoa juzi -kati.
Nakupa miezi6 tu, graph yako ya kumdandiadandia huyo mama itashuka kwa kasi ya ajabu.
Wote tulianzia huko, lakini ile mambo ni kama kufukuza upepo, au maji ya moto-yatapoa tu!
 
Kijana, shukuru mungu... wenzako wanaenda kwenye maombi kupata japo kamoja kwa mwezi!!!

Sasa yote hayo hizo sehemu zenu za s!r! si zitakuwa kama unyayo??
 
Nadahni wewe umeoa juzi -kati.
Nakupa miezi6 tu, graph yako ya kumdandiadandia huyo mama itashuka kwa kasi ya ajabu.
Wote tulianzia huko, lakini ile mambo ni kama kufukuza upepo, au maji ya moto-yatapoa tu!

"Hii kitu ninayo kwa muda mrefu sana, jamaa zangu wa karibu miaka ya nyuma walidai niko addicted na hiyo mambo nionane na wataalamu kuna vitu viwili vya kimombo vilinikimbia kabisa bila sababu wala mawasiliano yoyote kuna kijamaika kimoja onetime kilikuja na trick ya kwenda moon 10 days na malalamiko ya kuchoka yalikuwa hayaishi baada ya kugundua hali yangu inazidi kupanda moli kikaingia mitini as well"

Wakuu vipi dawa ipo..?
 
Nguvu ni mali.

Usimkufuru Mungu kwa kutafuta namna ya kujidhoofisha kwa tunu aliyokupa. Kiuungwana unachoweza kufanya kwa sasa ni kuwa na nidhamu ya matumizi ya ratiba, kwani haiwezekani ukawa unafanya kazi moja tu kila unapokuwa karibu na mwenzio.

Kwa maelezo yako unaonyesha kwamba huna majukumu mengi yanayokusumbua kama jamii nyingi za kiafrika tulivyo, cha kukumbuka hapa ni kwamba hili ni suala la wakati tuu, kama alivyochangia mdau mmoja hapo juu hayo ni maji ya moto yatapoa tu wakati wa kupoa ukifika.

Inabidi umvumilie mwenzako anaposema amechoka kwani hiyo ni tunu na starehe usiipe nafasi ya kuwa kero, na kwa kuzingatia kwamba iko siku uwezo huo utashuka jijengee historia ya kuwa binadamu msikivu, kwani utajafika wakati gari iliyokuwa inapiga START itajakuwa ya kusukuma ni wakati huo utakuwa unaambiwa twende kazi, jibu lako litakuwa CHOKA MBAYA.

Hivyo ni vyema uwe makini na matumizi ya resources za familia kwani mambo hubadilika kutokana na wakati.
 
"Mkuu hiyo bold ni utaalamu wa kitabibu au?..

Mkuu nimesha achwa sana na wengine hata hawakuaga, kunakipindi kilikuwa napiga sana enje ili nisiwachoshe sana watoto wa watu, na sasa nimebadilika na kuachana na tabia ya kupiga nje, wasiwasi wangu ni kuwa huenda na huyu akaniacha na kupiga nje tena sitaki, mtoto yuko bomba ile mbaya portable flani hivi, naogopa anaweza sepa mkuu"
 
"mtoto yuko bomba ile mbaya portable flani hivi, naogopa anaweza sepa mkuu"

Inawezekana kila ukiomuona na mihemuko inapanda. Usihangaike na dawa za kupunguza nguvu maana mwisho wake utatafuta dawa za kurudisha nguvu na zisifae! Fanya mazoezi na jikeep busy na mambo mengine, usiwaze sana kubembea.
 
Wakuu kama kuna mtu anayejua dawa hii.

"Ndoa inataka vunjika kwa kuwa purupushani zimezidi wife halali kabisa na weekend ni mwendo wa taulo friday evening to monday morning, wife analalamika sana anasema hajawahi ona mtu anayepiga mzigo kiasi hiki"

Nadhani hii itakuwa ni ugonjwa

MJ

kaka una roho ngumu weweee..duuh!!!!!teh teh teheee....yaaani katika wote ni wewe tu?! !!!!!!! ningemtoa meno ya mbele!
 
Wakuu kama kuna mtu anayejua dawa hii.

"Ndoa inataka vunjika kwa kuwa purupushani zimezidi wife halali kabisa na weekend ni mwendo wa taulo friday evening to monday morning, wife analalamika sana anasema hajawahi ona mtu anayepiga mzigo kiasi hiki"

Nadhani hii itakuwa ni ugonjwa

MJ

Nilidhani nipo peke yangu kumbe tupo wote hahaha
 
Maxence anavyosema tuchangie ili tuweze kupata hizi burudani na elimu ana maanisha sana, Kweli JF inanichekesha sana comment zote full commed. Nimecheka mpaka mbavu sina. Kumbe kuna watu wenye excess erection power, tafadhali tafuta kazi benki itasinyaa.
 
Tafuta program itakayokufanya uwe busy kila siku au kama ukikosa jaribu uwe unafanya mazoezi sana ili uchoke, usipende kuwa karibu na huyo mama muda wote. Hilo suala la kutafuta dawa ya kupunguza nguvu sio zuri coz inaweza kukufanya zikapotea kabisa na kumbuka kuna watu wanatafuta hizo nguvu kwa gharama sana ila Mungu hajawajalia, so kwa wewe ulie nazo haina maana ndio uzitumie kwa fujo, tumia alternative nyingine hasa hiyo ya kufanya zoezi.
 
Kwa sisi tuliosomea ujasiriamali kila kitu ni biashara, unaweza kugeuza kero fursa ya biashara, hebu kuwa mbunifu!
 
Back
Top Bottom