Dawa ya kupunguza msongo wa mawazo

KIGHERA

Member
Nov 19, 2010
84
27
Wadau naomba msaada wenu maana naona naangamia huku najiona,mimi ni mvulana nilikuwa na GF ambae nilikaa naye kwa miaka 3,then kulitokea ugomvi wa kawaida ameniambia hanitaki tuachane.

mimi bado nampenda sasa nina mawazo ambayo yamenisababishia vidonda vya tumbo,hata kufanya kazi pamoja na kusoma nasindwa.

Nisaidieni jamani nifanyeje haya mawazo yasiharibu maisha yangu na yaishe kabisa...!
 
ebu jiulize kama amekufa ungefanyaje? ushauri wangu ucharibu maisha yako na afya yako kwa ajili ya mwanamke aliyekwambia akutaki tena sahau samehe life go on fanya kama ni past hivyo ruhusu past ipast a way na maisha yako yasonge mbele ukizingatia unasoma achana kabisa na mapenzi mpaka umalize shule kwanza utatafuta mke sio gf pambana na vidonda kabla ujazalisha magonjwa mengine kisa demu jali uhai wako na afya yako kaza buti soma
 
piga master inasaidia sana, huyu mwanamke sio wako wameishamchakachua

ameomba ushauri kama una ushauri unapotezea tu sio kumboa m2 mana unamwongezea tatizo juu ya tatizo na madhara ya master yanajulikana yapo dhahiri pls ucfate ushauri huu
 
jaribu kuwa occupied muda wako wote,usiruhusu kukaa idle tafuta shughuli ya kufanya-fanya mazoezi kama kukimbia yanasaidia sana.pole sana
 
ameomba ushauri kama una ushauri unapotezea tu sio kumboa m2 mana unamwongezea tatizo juu ya tatizo na
madhara ya master yanajulikana yapo dhahiri
pls ucfate ushauri huu

mkuu hapo sikubaliani na wewe, nafikiri kuna thread nyingi humu zinaeleze faida ya master, ina release tension, ila angalizo isiwe too much, Mimi nikiwa na tension naicharaza halafu napata usingizi wa kufa mtu, ukizoea hutatamani mwanamke.
 
pole sana kaka, yanawapta wengi sio wewe tu, ila mungu anakuepushia pengine ungepata matatizo makubwa sana na huyo binti, sali sna umuombe mungu atakusaidia naamini.
 
Mkuu cha muhimu sasa hivi tafuta demu mwingine mkali kumzidi, na punguza mawazo kabisa na wala usimfikirie,nenda gym kafanye mazoezi rudi nyumbani na kula ushibe ulale, ila kama unaweza tafuta demu mwingine mzuri haraka sana la sivyo utakuwa affected sio kidogo....
 
mkuu hapo sikubaliani na wewe, nafikiri kuna thread nyingi humu zinaeleze faida ya master, ina release tension, ila angalizo isiwe too much, Mimi nikiwa na tension naicharaza halafu napata usingizi wa kufa mtu, ukizoea hutatamani mwanamke.

nafikiri ungeleta hizo thread hapa mana hii k2 sio kizuri zinapunguza nguvu za jinsia utakuwa unawai ku.... na hapo kwny red umejieleza mwenyewe kifupi sio nzuri kabisa acha kumshawishi mwenzako
 
mkuu hapo sikubaliani na wewe, nafikiri kuna thread nyingi humu zinaeleze faida ya master, ina release tension, ila angalizo isiwe too much, Mimi nikiwa na tension naicharaza halafu napata usingizi wa kufa mtu, ukizoea hutatamani mwanamke.
kumbe madhara yake na ww unayajua afu unazuga hapa
 
jaribu kuwa occupied muda wako wote,usiruhusu kukaa idle tafuta shughuli ya kufanya-fanya mazoezi kama kukimbia yanasaidia sana.pole sana

pia asipende kuwa mwenyewe mwenyewe.
Ajichanganye na watu.
Jf kwa sana, mawazo yote kwishne.
 
Wadau naomba msaada wenu maana naona naangamia huku najiona,mimi ni mvulana nilikuwa na GF ambae nilikaa naye kwa miaka 3,then kulitokea ugomvi wa kawaida ameniambia hanitaki tuachane.
mimi bado nampenda sasa nina mawazo ambayo yamenisababishia vidonda vya tumbo,hata kufanya kazi pamoja na kusoma nasindwa.
Nisaidieni jamani nifanyeje haya mawazo yasiharibu maisha yangu na yaishe kabisa...!

Itabidi Uni PM mimi na uniambie huyo Mpenzi wako wa zamani jina lake na jina la baba yake na wewe una umri wa miaka mingapi? nitaweza kukusaidia mimi.
 
Itabidi Uni PM mimi na uniambie huyo Mpenzi wako wa zamani jina lake na jina la baba yake na wewe una umri wa miaka mingapi? nitaweza kukusaidia mimi.

Acha mambo ya kichawi kwenye mapenzi, kama amemchoka acha awe huru aendelee na maisha yake.
 
Simama, Jipanguse, chapa mwendo. Keep yourself busy hata kwa kusoma novels kusali, kuimba au michezo, itakusaidia sana. Ni sehem ya maisha na hupaswi kujilaum wala kung'ang'ania sana. Wengine tulishapigwa vibuti mpaka mioyo ikaota sugu na tuko happy. Look yourself at the mirror and smile. Go on, life is good.
 
Acha mambo ya kichawi kwenye mapenzi, kama amemchoka acha awe huru aendelee na maisha yake.

Hakuna hapo mambo ya kichawi kama unaijuwa dawa ya kumsahau mpenzi wake msaidie sio kuleta maneno ya upuuzi kama wewe ni Mwanamke nenda kamliwaze Mkuu KIGHERA ili amsahau mpenzi wake wa zamani akupende wewe unasemaje?
 
Back
Top Bottom