Dawa Ya Kuongeza urefu (height)

>HII DAWA NI KWELI IPO LAKINI SI KWA ADULT.
>Inachokifanya ni kustimulate pituitaly and thyroid gland zizarishe growth hormone iitwayo 'somatrophic hormone'
>Kwa watoto husaidia kurefuka kama wanavyo dai
>Lakini kwa watu wazima usababisha tatizo la 'acromegally'
yaani mtu harefuki ila baadhi ya viungo vyake vinaongezeka unene na upana
mf:pua kuwa kubwa,miguu na mikono kuwa mipana, n.k
So MTU MZIMA HUSIJISUMBUE.
Kaka ni norditropin sio samatrophic
 
Kuna rafiki yangu mwarabu tulisoma nae na alikuwa mfupi enzi hizo ila baada ya kumaliza tukakutana nae siku moja baada ya kupotezana nae aisee ni kweli jamaa alikuwa karefuka balaa anyway nilishangaa sana nikamuuliza akanijibu ni kwamba alipelekwa hospital akachomwa sindano ya kustimulate pituitary gland ndo ikawa hivyo ki ukweli nilishangaa lakini ni kweli hii kitu ipo.
Dada white najua hii thread ni ya muda mrefu kidogo lakini naomba uni unganishe na huyo rafiki yako na mi nahitaji hiyo sindano nimesha zunguka katika hospitali na kwa madaktari wengi Bongo lakini sija fanikiwa
 
daaah hii sasa kali ya mwaka.. nachojua mimi ukuaji nimipango ya mungu pekee sasa hii inatoka wapi au ndo zile za kuongeza makalio mixer maips, tuwe makini jamani tusije jiongezea mashepu bila kujua.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom