Dawa ya kufunga mwanamke msumbufu atulie

Mwanamke kwa vile ni mzuri basi akitongozwa huko nje nyumbani full dharau. Full kukutoa kasoro na kuomba kuachana. Yani amani ya nyumbani sio guaranteed. Leo hii mnaweza kuwa na amani na baada ya hapo amani imekwisha.
Tupa kuleee
 
Dawa ni kutivika mpaka anyooshe mıkono kama ni we ni dhaifu usijisumbue bure hamna njia nyingine
 
Dukua Mawasiliano yake,
Means sms zake na Calls zake zote zije kwako kwa siku mbili,
halafu uje nazo mezani umwambie achana na hao mabwana zako
 
Mie nikiona wewe ndio unashida baada ya kuumuona mkeo ni mzuri kwa unahisi anatongozwa wewe umejuaje? Punguza wivu wewe, pengine kwako ndio mzuri, kwa wengine ni wakaida ,
 
Back
Top Bottom