Dawa ya Kiuno jamani ! Msaada.

ni kujaribu kila kitu chini ya anga, kama yalivyo maua na rangi mbalimbali, na tiba pia hivyo zipo nyingi mno! jaribu kumpigia kwa airtel akuletee tiba haraka, ila kama nilivyokwambia ukiona network si nzuri jaribu pia line mwenza ya tiGo kha! nakutakia uponyaji wa haraka!

bi cacico, wewe hutoi dawa kweli? maana naihis kahoma fulani kwa mbali..nahisi nikituma pm utaleta pozi...
 
Last edited by a moderator:
napita tu. . .

Yaani Yaani hata wewe?
Wa kusema napita!
Tayari hapa na mgonjwa wa pili kaongezeka, members kibao wanasugua vichwa kuelekeza treatment!
We wapita, hujali, huguswi!
Ama kweli manabii walianza kataliwa makwao.
 
bi cacico, wewe hutoi dawa kweli? maana naihis kahoma fulani kwa mbali..nahisi nikituma pm utaleta pozi...
mmmhhhhh sitoi huduma kwa sasa! nimesitisha service kabisa, najipa mapumziko kwanza! ila usikate tamaa waeza pata msaada kwa hisani ya bunge letu tukufu, kwa ku-exclude chadema lakini, lol!
 
Yaani Yaani hata wewe?
Wa kusema napita!
Tayari hapa na mgonjwa wa pili kaongezeka, members kibao wanasugua vichwa kuelekeza treatment!
We wapita, hujali, huguswi!
Ama kweli manabii walianza kataliwa makwao.

haya waumwa viuno vya wenzenu vimeuma hadi wameamua kuvipoza kwa picha
 
he Judgement mbona kushadadia hivyo? lol! vipi kiuno mchana huu?? na ukipata tiba utujulishe pia!

Ndiyo mchana eeh, alokwambia Uno latakiwa liume usiku nani ?
Kiuno ndo kimekua kiuno! Kinanyogoa baadhi ya wakati kinanyevua!
 
Last edited by a moderator:
haya waumwa viuno vya wenzenu vimeuma hadi wameamua kuvipoza kwa picha

Ndo unaamka? Sijakuona since mornie, tena hata B nae hajaonekana yaani mmepotea wote!
Basi nafunika bilauli mtoto aliyekosa Baba apite!
Haya nisaidie dawa ya hii makitu, nionyeshe hizo picha walizoponea hao.
 
shughuli zilinibana B kaama jukwaa yawezekana kashakula ban.picha kule kwa RUNGU NA KIBWEKA NI BURE
 
Ndiyo mchana eeh, alokwambia Uno latakiwa liume usiku nani ?
Kiuno ndo kimekua kiuno! Kinanyogoa baadhi ya wakati kinanyevua!
jamani pole, ndio tuko PM na babu Asprin tunajadili tiba yako, nadhani utapata tiba! vuta subira! ila pole sana, na umejaribu tiba kwenye viwanda vya sabuni??, kama revola, geisha inapendwa na wengi, tuliza hata maumivu wakati tiba inajadiliwa! lol!
 
Last edited by a moderator:
shughuli zilinibana B kaama jukwaa yawezekana kashakula ban.picha kule kwa RUNGU NA KIBWEKA NI BURE

Kumbe unanielekeza kwenye kula ugali na image ya fish! Imagenable meals!
Kule kutaniongeza tatizo!
Badala ya hapa litakua la India.
 
jamani pole, ndio tuko PM na babu Asprin tunajadili tiba yako, nadhani utapata tiba! vuta subira! ila pole sana, na umejaribu tiba kwenye viwanda vya sabuni??, kama revola, geisha inapendwa na wengi, tuliza hata maumivu wakati tiba inajadiliwa! lol!

Haya mie nangoja si wanasema muhitaji khan*thi.
 
Last edited by a moderator:
am also soooo special to sm1 too, nways hebu nisomee kifungu changu cha sheria mapema, nitumikie hiyo adhabu haraka!
adhabu yako ni ku quote kila comment yangu humu Jf kwa wiki nzima...Ofkooooz..mamii cacico...ur velevle special to all of us in JF..
 
adhabu yako ni ku quote kila comment yangu humu Jf kwa wiki nzima...Ofkooooz..mamii cacico...ur velevle special to all of us in JF..
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hiyo adhabu ni kasheshe kha! nitatafuta msaidizi, haya baba umeshinda!
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii hiyo adhabu ni kasheshe kha! nitatafuta msaidizi, haya baba umeshinda!

sio ngumu sana maana tayari umeshaanza kuitumikia..keep it up...zawadi nono itatolewa weekend
 
Si kingine ni Kiuno! Ndiyo kinisumbuacho!
Kamwe msinipe Miguno!
Wajibu mnitupie Macho!
Kiuno hakisikii Sindano!
Kila nachotibiwa Sicho!
Kiuno chauma meuma Meno!
Mechoka kulala Macho!
Wadau nipeni Mifano!
Dawa ipi pasipo Ficho!
Kiuno jamani Kiuno!
Si kingine ni hicho! Sihitaji Malumbano!
Meongea pasi Kificho!
Wadau wenye Maono!
Ipi dawa nipate Ponyo ?
vaa shanga aka chachandu utapona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom