Dawa ya hasira

LEGE

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
5,123
9,168
Wakuu naomba kuuliza kama kuna dawa yoyote ya hasira.
Kwani sasa hivi nimekuwa na hasira ambazo nashindwa hata kujua chanzo chake ni nin?
Kwani nimekuwa sitaki au kusikia mtu yeyote akiongea mbele yangu au kunisemesha.Mpaka niandikapo post hii nishagombana na watu zaidi ya 7 kwenye simu na wa usoso kwa uso hawahesabiki.

Naomba msaada wenu wataalam hali hii huweza sababishwa na nin na tiba yake ni nin??
 
tafuta maziwa ya ngamia.ni tiba tosha.
 
Hiyo kuwa na hasira zilizopitiliza ni dalili mojawapo ya tatizo la ugonjwa wa akili. Dalili nyingine zinazoenda pamoja na hiyo ni kukosa usingizi. Mtafute mtaalam wa magonjwa wa akili aweze kuongea nawe kujua chanzo cha tatizo na atakupatia tiba kamili
 
punguza mawazo,pata muda wa kutosha wa kupumzika,chukua filam za luv story uangalie ikiwezekana hata picha za watu wakubwa japo sijui umri wako.usikae peke yako.ukifungua jf nenda jukwaa la mahusiano na mapenzi usiende kabisa jukwaa la siasa.wewe una stress labda za ugumu wa maisha na ukiendekeza mawazo ya kutaka umilionea wakati msosi wa mchana tu mbinde uta under go crazy.
 
we nenda mirembe, ni pm 4n namba yako nku2mie nauli na matibabu via m pesa, tgo pesa etc!
 
Wakuu naomba kuuliza kama kuna dawa yoyote ya hasira.
Kwani sasa hivi nimekuwa na hasira ambazo nashindwa hata kujua chanzo chake ni nin?
Kwani nimekuwa sitaki au kusikia mtu yeyote akiongea mbele yangu au kunisemesha.Mpaka niandikapo post hii nishagombana na watu zaidi ya 7 kwenye simu na wa usoso kwa uso hawahesabiki.

Naomba msaada wenu wataalam hali hii huweza sababishwa na nin na tiba yake ni nin??

jinsi yako?
Me o Ke?
 
punguza mawazo,pata muda wa kutosha wa kupumzika,chukua filam za luv story uangalie ikiwezekana hata picha za watu wakubwa japo sijui umri wako.usikae peke yako.ukifungua jf nenda jukwaa la mahusiano na mapenzi usiende kabisa jukwaa la siasa.wewe una stress labda za ugumu wa maisha na ukiendekeza mawazo ya kutaka umilionea wakati msosi wa mchana tu mbinde uta under go crazy.

mkuu nashukuru tatizo tv sijaangalia nakama zaidi ya miez 8 hivi na siyo mpenz kabisaa nilikuwaga mpenz wa kucheck mpira lakin kwa mda sasa nao umenitoka kabisaa.
Jukwaa la mahusiano huwa halipandi kabisaa yaani mambo ya mapenzi mapenzi yamepita kushoto.
 
Jongoo halipandi mtungi?.... basi hiyo ni sababu tosha, pata kojo mkuu, stress zote zitaisha.
 
Hao watu saba ni kwa muda gani? miezi, wiki, siku, masaa?
Kama hutaki kuona mtu basi kaa peke yako, usione mtu. Jaribu meditation ujue hasira yako inatoka wapi, na uitulize.
Ukitaka naweza kukupa jina la member humu humu atakusaidia via PM kwa kukuelekeza namna ya kufanya hizo meditations.
Usidharau ushahuri wa kuelekea kwa psychiatrist.
 
mkuu jongoo linapanda mtungi kama kawaida
ila semaga nikitambo kimepita sija DO na sinaga mpango wa wanawake naona kama wananitibua brain yangu.
 
mkuu inshort nagombana na mtu yule atakaye nihusisha kwa njia 1 au nyingine kwenye mazungumzo.
Mfan nikuwa kwenye daladala kalibia watu wote waliokuwa wanaongea na redio pia ilikuwa imefunguliwa iliniboa sana nilishikwa na hasira na kama ningekuwa na uwezo ningeamuru redio izimwe na watu wote wawe kimya balaa na hasira zote zilimdondokea konda wakati akidai nauli mzigo wote wa hasira ulimwishia yeye.

Tatizo hasira sijajua zinatoka wapi maana nimekuwa na hasira pasipo sababu wala sijagombana na mtu.
Ila nikikaa na mtu ndani ya dk 1 lazima tutakwaruzana huwa najisonya pasipo hata sababu naweza nikaa nikawa nimeduwaa kama kunakitu nawaza/fikiria na ugomvi huanza mtu yoyote atokee na kunisemesha au kunidistable kwa namna moja au nyingine balaa huanzia hapo.
 
mkuu jongoo linapanda mtungi kama kawaida
ila semaga nikitambo kimepita sija DO na sinaga mpango wa wanawake naona kama wananitibua brain yangu.

Tatizo ndo lipo hapooo...sasa hao wanawake ndo watairudisha hiyo brain yako na si kuitibua ka ufikiriavyo...full stop...
 
bora niwe chizi na brain itibuke milele lakin kusema kweli mi na wanawake hazipandii kabisaaa kama na arage nao vile.

Nisije ishia segerea bure hawa ndio wanazinguaga sana.
 
Back
Top Bottom