Dawa ya chuki ya wala vumbi ni Nyani Ngabu

Omerta, binti ni mdogo wangu sana kiumri, hivyo kiukweli kabisa, mimi ni kaka yake, na kwa vile siujui umri wake, usikute anaweza kuwa binti yangu!.

Ila mimi pia ni kama hawa mababu wa kisasa, hatunaga mwiko unless ni mwiko!.

Pasco
Ha ha ha
 
Once a soldier, always the Soldier....
CC: Miss Natafuta
 
Omerta, binti ni mdogo wangu sana kiumri, hivyo kiukweli kabisa, mimi ni kaka yake, na kwa vile siujui umri wake, usikute anaweza kuwa binti yangu!.

Ila mimi pia ni kama hawa mababu wa kisasa, hatunaga mwiko unless ni mwiko!.

Pasco
Ha ha... Shikamoo
 
Wala vumbi wengi wanastress Sana na wivu uliopitiliza kama nyegere
just imagine mtu badala ajadili mada anakuja kutoa povu huku eti mimi ni mwanaume .hata mfano ningekuwa mwanaume inamuhusu nini? si afanye yake yaliyomleta? wala vumbi kweli ni matatizo kumbe Nyani Ngabu hajakosea .ndo maana jamaa huwa anawachana live maana utoto mwingi
 
Tangia Le Mutuz alivyorudi na kusimulia maisha ya diaspora wanacyoteseka huko majuu hamu yote iliisha.
 
aisee asije akaniachia manyoya huyu brother !
Pasco siwezi kuwa binti yako labda kama ungenizaa wakati upo primary
utakuwa brother wangu no matter what? kwani mwiko unaondoa ukaka?
Mrembo Miss Nata, usiwe na wasiwasi, mababu tuko wa aina mbili
1. Wenye aibu 2. Wasio na aibu.
Wenye aibu alikaa na mtu wa umri wa mtoto wake, anamuhesabu mtoto wa mwenzio ni wako hivyo hata kuwazia mengine hakuna. Umri wa binti yangu ni mwiko kwangu.
2. Wasio na aibu, hao kwao binti wa mwenzio ni mkubwa mwenzio hivyo hawana mwiko na sometimes hata mjukuu! .

Hivyo miss usiogope manyoya, sisi wengine tunashare na wakubwa wenzetu tuu, kwa wadogo zetu we support kuwezesha na kwa watoto wetu we provide.

Pasco
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom