Clueless14
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,104
- 4,738
nikikuuliza unafanya kazi gani huko na haujasoma shule, utasemaje mzee. ni kazi gani hizo unafanya huku mkirudi mnarudi na koti tu na kabegi mgongoni? tumeshakuja kusoma huko tumeishi sana, na ninyi mnatuomba hela na mnatia huruma hadi mbele ya sisi tuliokuja kama wanafunzi. poleni sana.
Kwani dhambi mkiombwa hela nyie? Mbona nyie mnaomba? Kwa hiyo ni sahihi alie ulaya atume tuuuu ila ulie bongo ndo omba omba mpokeaji kila siku??? Mana msipotuniwa ndo mihasira kama mmeuliwa! This proves jinsi wabongo walivyo na mawazo hasi. Kuomba omba damuni.
Ulipokuwa huko ulikoenda uliona pesa zinachumwa kwenye mti na si kufanya kazi km tz na kwamba mtu haruhusiwi kuishiwa?
Acheni hasira za kijinga. Maisha popote.