Dawa ya Asma

kasopa

JF-Expert Member
Aug 29, 2010
302
56
Kwanza nawaombarazi kwakua hapa simahala pake lakini naimani kuwa wengi hupitia sana hapa

Nduguzangu mimi na mwanangu huwa anasumbuliwa na kifua kwa muda mref juzi hopitali
wamegundua kuwa ana ASMAA nasikia kuwa inatibika nakupona kabisa lakini kwa kienyegi naomba mweyekujua wataalam wa tiba wamzaidie mwenenu

Natanguliza shukurani kwenu
 
Pole mama, mungu atakusaidie mwanao atapata dawa na kupona, I wish ningekuwa na namna ya kusaidia. lakini jamvini hapaharibiki neno natumai utapata mtaalam! Hapawezi kosa mtoto wa mganga hapa
 
POOa Mazee
 
Nenda Mwenge kanisa la KAKOBE mpeleke mwanao atawekwea mikono na kuombewa ATAPONA
 
I m very sorry kwa ushauri huu,ila imenibidi kuutoa na natanguliza samahani.Kama katika uzao wenu hamna tatizo na bangi basi mvutishe ni dawa nzuri sana lakini kuna wengine ambao wakijaribu huharibika akili kwa hiyo usijaribu kama hakuna mtu wa karibu na wewe anayetumia mmea huo na hajaharibikiwa maana kuna wengine wanazitumia lakini huwezi hata kuwahisi.
 
Sujui upo wapi kwa hapa Tanzania, lkn Dr.Ndodi ana vipindi vyake vya Tiba Mbadala ktk Star TV kila J`4 saa 7 mchana. kwa mfano ukiwa Mwanza ana ofisi yake pale TAI FIVE Hotel,Mwz
 
I m very sorry kwa ushauri huu,ila imenibidi kuutoa na natanguliza samahani.Kama katika uzao wenu hamna tatizo na bangi basi mvutishe ni dawa nzuri sana lakini kuna wengine ambao wakijaribu huharibika akili kwa hiyo usijaribu kama hakuna mtu wa karibu na wewe anayetumia mmea huo na hajaharibikiwa maana kuna wengine wanazitumia lakini huwezi hata kuwahisi.

Paka
Thenx Mkuu kwa ushauri wako ntachunguza kama kuna mtumiaji katika famili nikmpata nimpeleke kwa daktari wa akili achunguzwe akiliyake kama ikosawa kama itakuwasawa ntarejea kwako unipe dos
 
I m very sorry kwa ushauri huu,ila imenibidi kuutoa na natanguliza samahani.Kama katika uzao wenu hamna tatizo na bangi basi mvutishe ni dawa nzuri sana lakini kuna wengine ambao wakijaribu huharibika akili kwa hiyo usijaribu kama hakuna mtu wa karibu na wewe anayetumia mmea huo na hajaharibikiwa maana kuna wengine wanazitumia lakini huwezi hata kuwahisi.
Du PakaMweusi una uhakika na tiba hii!!
 
Mtoto ana umri gani? Kama ni chini ya miaka 5 subiri afikishe miaka mitano then uangalie kama bado anasumbuka na hiyo PUMU. Watoto wangu miye huwa wana pumu lakini dr. akaniambia nisubiri wafikishe miaka 5 halafu ndio atanishauri nitumie tiba mbadala, you cant believe huyu mkubwa ambaye sasa ana miaka minne imepotea kabisa. Ila huyu mdogo bado kidogo lakini ameimprove sana. Ndugu zetu wahaya huwa wana dawa nyingi sana tafuta mhaya akusaidie au nenda kwa Dr. Rahabu yupo Buguruni petrol station pia kuna mganga ameandika anatibu pumu na meno hapo makumbusho nasikia naye ni mzuri.
 
Tatizo litakuwa limeisha akiwatafuta hao uliomshauri.
 
Back
Top Bottom