measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,406
Napendekeza waziri wa Fedha awe Sofia Simba, Nishati na madini Vicky Kamata.
Wizara ya Afya awe Anna Killango
Napendekeza waziri wa Fedha awe Sofia Simba, Nishati na madini Vicky Kamata.
Masikini ulipataga brain konkashen ulipokuwa mdogo..!
Hata U-Waziri Mkuu.........sasa ni zamu ya Wanawake........
Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya ndani, afya, mawasiliano na uchukuzi zishikwe na akinamama UWAZIRI, UNAIBu WAZIRI na KATIBU MKUU. Hiyo itakuwa ni mwarobaini wa kuondoa UFISADI, pia IGP, CDF and MKUU WA TISS, DPP, JAJI MKUU, MKUU WA TAKUKURU zishikwe na akinamama
Waziri Mkuu Blandina NyoniNapendekeza waziri wa Fedha awe Sofia Simba, Nishati na madini Vicky Kamata.
IwepoNapendekeza waziri wa Fedha awe Sofia Simba, Nishati na madini Vicky Kamata.
Timu ya ushindi CCM kuelekea 2015
Waziri Mkuu - Rose Migiro
Waziri wa Fedha Anna Tibaijuka
Ulinzi - Sofia Simba
Mambo ya Ndani - Jenista Mhagama
Utamaduni na Michezo - Vicky Kamata
Nishati na Madini - Stella Manyanya
Kilimo na Mifugo - Dr. Ishengoma
Maliasili na Utalii - Ummy Mwaimu
Utumishi - Hawa Ghasia
Afya - Dr. Nkya
Biashara - Mary Nagu
Uchukuzi - Esther Bulaya
Kwa mtaji huu CHADEMA kimeandaliwa kaburi
Napendekeza waziri wa Fedha awe Sofia Simba, Nishati na madini Vicky Kamata.