Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya ndani, afya, mawasiliano na uchukuzi zishikwe na akinamama UWAZIRI, UNAIBu WAZIRI na KATIBU MKUU. Hiyo itakuwa ni mwarobaini wa kuondoa UFISADI, pia IGP, CDF and MKUU WA TISS, DPP, JAJI MKUU, MKUU WA TAKUKURU zishikwe na akinamama
Dawa ni kutengua nguvu za mamlaka ya raisi kikatiba na kuipa mahakama nguvu kama ilivyo kwa Pakistan, Ukraine na Philipines. UFISADI ni madhala ya Raisi mtawala kuwa na mamlaka makubwa kikatiba kupita Mahakama na Bunge. SI unaona hivi sasa mahakama wala bunge hazina uwezo wa kulalamikia mafisadi wa EPA, Rishomond, Mikataba ya mibovu ya madini, Radda na ndege washitakiwe?