Dawa ni wizara nyeti ziongozwe na wanawake

Lilombe

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
242
39
Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya ndani, afya, mawasiliano na uchukuzi zishikwe na akinamama UWAZIRI, UNAIBu WAZIRI na KATIBU MKUU. Hiyo itakuwa ni mwarobaini wa kuondoa UFISADI, pia IGP, CDF and MKUU WA TISS, DPP, JAJI MKUU, MKUU WA TAKUKURU zishikwe na akinamama
 
Kuna akina mama kama Blandina Nyoni ni hatari sana kwa kukwapua mali za umma!
 
kwani wanawake ndo sio mafisadi???Mbona Getruda Mongera hadi kule Bunge la afrika kafanya ufisadi mpaka kaitia aibu Tanzania??
 
Ili kuondoa ufisadi uliokithiri sasa ni wakati muafaka wizara nyeti kama vile fedha, elimu, maliasili na utalii, ulinzi, tamisemi, kilimo, biashara, maji, nishati na madini, ulinzi, mambo ya ndani, afya, mawasiliano na uchukuzi zishikwe na akinamama UWAZIRI, UNAIBu WAZIRI na KATIBU MKUU. Hiyo itakuwa ni mwarobaini wa kuondoa UFISADI, pia IGP, CDF and MKUU WA TISS, DPP, JAJI MKUU, MKUU WA TAKUKURU zishikwe na akinamama

wewe mwanamke nini? precedent ya wanawake kuongoza sehemu nyeti ipo kwa speaker wetu makinda. nawaheshimu wanawake lkn nikiangalia uendeshaji wa bunge letu na huyu semamba! wanaweza wanawake wa wenzetu hukooo but not tz. hii mbinu ilishawahi kufikiriwa zamani sana na nchi za wenzetu lakini ikawa proved fruitless. dawa hapo ni kuwa na uwajibikaji na kulirudisha azimio la arusha viongozi wote waishi ktk maadili sio sasa mtu anakwambia nina malori ma2 yananiingizia dola 20000 kwa mwezi wakati sio kweli.
 
Injini ya wizara ni katibu mkuu wa wizari hebu kumbuka jinsi Blandina nyoni alivyo filisi wizara ya afya.... System ya uongozi ya nchi ndo mbovu kupindukia.
 
Napendekeza Anna Makinda ajiuzuru us pika na awe waziri wa ulinzi sababu kawa mini Maurice wa magamba
 
Kuna akina mama kama Blandina Nyoni ni hatari sana kwa kukwapua mali za umma!

na mi nilitaka kusema hivi hivi..hakuna cha mwanaume au mwanamke wote wezi..kwani hao wanawake hawataki kujenga mijumba na kusomesha watoto wao nje??!!
 
Nagu,Shamsha,Meghji,Migiro,Sophia,Sitta,kombani, Tibaijuka Tumejifunza nini kutoka kwao?
 
Timu ya ushindi CCM kuelekea 2015
Waziri Mkuu - Rose Migiro
Waziri wa Fedha Anna Tibaijuka
Ulinzi - Sofia Simba
Mambo ya Ndani - Jenista Mhagama
Utamaduni na Michezo - Vicky Kamata
Nishati na Madini - Stella Manyanya
Kilimo na Mifugo - Dr. Ishengoma
Maliasili na Utalii - Ummy Mwaimu
Utumishi - Hawa Ghasia
Afya - Dr. Nkya
Biashara - Mary Nagu
Uchukuzi - Esther Bulaya

Kwa mtaji huu CHADEMA kimeandaliwa kaburi

 
hakuna cha mwanamke wala mwanaume hapa....hiii nchiii hiii dawa yake atokee rais mmoja kichaa kichaa hivi....yaani ukileta ujinga tu ndaaaanii...hakuna cha nani wala nani...pumbaf!!!
 
Timu ya ushindi CCM kuelekea 2015
Waziri Mkuu - Rose Migiro
Waziri wa Fedha Anna Tibaijuka
Ulinzi - Sofia Simba
Mambo ya Ndani - Jenista Mhagama
Utamaduni na Michezo - Vicky Kamata
Nishati na Madini - Stella Manyanya
Kilimo na Mifugo - Dr. Ishengoma
Maliasili na Utalii - Ummy Mwaimu
Utumishi - Hawa Ghasia
Afya - Dr. Nkya
Biashara - Mary Nagu
Uchukuzi - Esther Bulaya

Kwa mtaji huu CHADEMA kimeandaliwa kaburi


Masikini ulipataga brain konkashen ulipokuwa mdogo..!
 
Nakubali kwamba wanaogopa sana jela na kunyongwa lakini si mliona Megji aivyodanganywa na EPA? naye akasema ni matumizi nyeti ya kiusalama> si mliona Anna Abdala alivyoendesha bunge kwa muda alivyokuwa na munkali wa kukalisha chini wabunge wa upinzani? si mnaona Makinda alivyo ni spika lakini nisehemu ya serikali? Blandina Nyomi, Simba ulanga etc. Achana na hao watu. Weka sheria ya kunyonga tu inatosha.
 
Timu ya ushindi CCM kuelekea 2015
Waziri Mkuu - Rose Migiro
Waziri wa Fedha Anna Tibaijuka
Ulinzi - Sofia Simba
Mambo ya Ndani - Jenista Mhagama
Utamaduni na Michezo - Vicky Kamata
Nishati na Madini - Stella Manyanya
Kilimo na Mifugo - Dr. Ishengoma
Maliasili na Utalii - Ummy Mwaimu
Utumishi - Hawa Ghasia
Afya - Dr. Nkya
Biashara - Mary Nagu
Uchukuzi - Esther Bulaya

Kwa mtaji huu CHADEMA kimeandaliwa kaburi


hadja kopa, kawawa, makinda.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom