Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

Mazoezi ndio njia ya kwanza na ya kuaminika...kutembea au jogging kama utaweza,na kikombe cha babu ni muhimu pia
 
Na je kunywa maji ya moto yenye ndimu ni sahihi ndugu zangu? Nisije kutengeneza ugonjwa mwingine!
 
The best way to burn stored body fat is to have activities with excessive intake of oxygen...ndio maana zoezi linatangulizwa mbele zaidi na mengine ni supplement, unless kama huwezi kufanya mazoezi. I suggest you put yourself kwenye program za mazoezi
 
The best way to burn stored body fat is to have activities with excessive intake of oxygen...ndio maana zoezi linatangulizwa mbele zaidi na mengine ni supplement, unless kama huwezi kufanya mazoezi. I suggest you put yourself kwenye program za mazoezi
thanks Tangawiz, ntafanyia kazi hilo
 
Jaman habari ya leo, natumain mko pouwa. Naomba msaada nifanye nin kupunguza tumbo/kitambi? Nashukuru kwa mawazo yenu.

Tumbo/Kitambi kinasababishwa na mafuta yanayolundikana kwa sababu mwili unapata energy (chakula cha kuongeza nguvu/joto mwilini) nyingi kupita unavyotumia, na hivyo ziada inahifadhiwa kama mafuta sehemu mbali mbali za mwili, mara nyingi kwenye ukuta wa tumbo (abdominal wall).

Kwa hiyo basi, kuna njia tatu tu za uhakika kuweza kutatua hilo tatizo... 1. Kupunguza kiasi cha energy (chakula) unachokula ili kuzuia ziada isilundikane kama mafuta kwa kufanya diet, 2. Kutumia hiyo ziada ya energy (chakula) iliyolundikana tayari kama mafuta kwenye ukuta wa tumbo (kitambi) kwa kufanya mazoezi na kazi nyingine za nguvu, 3. Kama una hela..fanya upasuaji kutoa hayo mafuta yaliyolundikana (kama alivyofanya Mustafa Hassanali).

Hizo story za chai, sijui kufunga special belt, dawa za kumeza etc hazina ushahidi wa kisayansi kuwa zinafanya kazi, na kama matokeo yake ni ya kudumu.
 
Nimekata kilo 5 katika kipindi cha mwezi mmoja, waweza fikiria ni mafuta kiasi gani. Ushauri wangu, kata ulaji by 70% (amount ya calories unazoingiza) ili mwili utumie hayo mafuta yaliyoko ndani kukupa nguvu, then mwili ukishakaa sawa, kula small low calories meals mara kwa mara, lots of water, achana na sugar na mafuta na lastly fanya mazoezi!

Muhimu kujua (una low metabolism) so be careful on amount of calories you take and what u use (carolies in-calories used= 0), hivyo utaweza maintain ur current weight . Jibu likiwa -no lazima utapungua, likiwa +no lazima utagain weight!

Hope this helps
 
NUNUA BIO DISC UTENGENEZE BIO WATER HIVI.
KUNYWA GLASS 2 DAKIKA 10 KABLA YA KULA. GLASS 1 WAKATI UNAKULA NA GLASS 2 DAKIKA 5 BAADA YA KULA. BIO DISC INAPATIANA KUPITIA WEB SIE QNet | Direct Selling - Home. jinsi ya kunua lazima uwasiliane nami
UNIQUE
 
Pamoja na kupunguza portion ya chakula unachokula nashauri kama ifuatavyo:mimi niligundua tatizo sio tumbo bali ni tumbo kulegea na ikabidi nianze mazoezi ya kukaza misuli ya tumbo kwa njia ya kuzuia miguu isiinuke nikiwa nimelala chali na huku napiga push-ups,ilinisaidia sana na sasa nachomekea shati na linakaa vyema.
 
Kuruka kamba (asubuhi na jion kila nipatapo nafasi), kulala chali na kuinua miguu juu na chini, pushap kidogo, kunywa maji mengi yasiyo baridi, kula wanga kiasi kidogo na mbogamboga za kutosha, kumenisaidia saaaaaaaaaaaaaaaaaana kupunguza tumbo langu. Hata nikijiangalia najisikia raha na furaha .

Naamini hata wewe unaweza kulipunguza kwa njia hii. Pole sana.
 
distazo nimeshuhudia mtu wa karibu alikuwa anafanya zoezi hilo alipoaacha tu.....tumbo hilo likaanza kutoka...........wht did u observe?
 
Nilianza kunywa maji ya moto baada ya kujifungua kwa operation. Nikaja ambiwa na best yangu kuwa yanakausha sehemu nyeti na yanakausha maziwa pia. Kama huna partner twanga maji ya moto kwani yanapunguza hata hamu ya ngono
 
Back
Top Bottom