Dawa na njia mbadala za Kupunguza unene/uzito | Weight Loss techniques and advice

Samahani aise, nilisahau, pia kwenye kila mlo wako jitahidi kula mboga za majani kwa wingi hasa cabbage inasaidia sana kupunguza unene. Na pia punguza mafuta kwenye vyakula unavyotumia
 
Vyote hivyo walivyokwambia members wengine labda niongezee kidogo.

Kwa sasa kata wali,ugali,mkate na badala yake tumia viazi vitamu.kula matunda na mboga za majani kila siku.

Kula mara tano kwa siku,mlo mdogo mdogo ambao utakuwa na vitu vilivyotajwa kwani hii inasaidia ku-increase metabolism yako.

Kunywa maji mengi atleast glass 8 kwa siku na fanya mazoezi kila japo kutembea hata kwa dakika 30 sio mbaya.
 
Pia punguza kula chakula kingi usiku...! Kwa vile usiku watu huwa tunalala, hatuhitaji calories nyingi, hivyo ni busara kupunguza chakula unachokula haswa wakati wa usiku...!

Pia jitahidi walau kutembea au kufanya kazi za mikono walau kila siku kwa muda wa dk 30.
 
Hili muhimu sana mkuu tunamchezo wa kushindilia wali usiku kinoma.
 
Wadau,
hakika nimefurahia sana muongozo wenu katika suala zima la afya, je juice na maziwa aidha fresh/mtindi yastahili kutumia wakati wa jitihada za kupunguza uzito na unene?
 
Usitumie tena asali kwa sababu ina carbohydrates ambayo inakufanya uwe mnene, kula kula kido kidogo kama mara sita kwa siku. unaweza kula kuku bila ngozi, kula sana samaki matunda na mbogamboga, haswa cabbage. dakika 30 kabla ya chakula mara tatu kwa siku kula garchinia capsule hii inapunguza uwezo wa carbohydrates kuzalisha unene.Kwa msaada zaidi fuata hii blog utaona health tips for the day unaweza kujifunza na mambo mengine mengi yanayohusu afya CORNWELL QUALITY TANZANIA
 
nawashukuru wote mliochangia maana kupitia michango yenu nami nimepata darasa hapa.
 
naona majibu yametosha labda moja la nyongeza kama umeoa au kuolewa mfuatilie mwenzi wako kwa karibu, stress nayo inapunguza unene lakini not recommended
 
Msolo,
Umepata ushauri mwingi sana hapa..sasa ufanyie kazi halafu urudi baada ya muda utoe feedback.
Kuna rai moja sijaiona kutajwa hapa...fasting...unajua kuwa fasting ikiendana na kupunguza mlo mnene, yaani sahani mbili za wali, ugali, bia, nk na chips yai,kuku basi within a week utaona tofauti...

kufunga wanatumia wanadini sana..lakini ipo pia kufunga for health reasons, funga hii itakufanya uwe unajitathmini wewe kama binadamu na afya yako.Psychologically, ukiweza kukaa masaa 9/10 bila kula au kunywa basi utapata fikra za kuheshimu chakula na mwili wako na utajaribu kubalance mambo.

lakini kubwa inatakikana ari, will ya wewe kutaka kupunguza uzito na unene ulionao. If there is a will there is a way!
Good luck!
 
asante mkuu,fasting nadhani wengi tumeshindwa kuipendekeza kwa vile ni ngumu kwa watu wengi na pia mtu anapo kaa bila kula kitu chochote kwa mda mrefu inafanya mwili uifadhi mafuta hili kumsaidia mtu kumiliki kuishiwa nguvu kutokana na njaa.na ndio ikapendekezwa mtu apate milo mingi midogo midogo kwa siku hii inafanya mwili uunguze calories zaidi.
 
Kwa niababa ya msolo hata mimi nimejifunza mambo mengi kupitia ushauri wenu maana nilikuwa na tatizo kama lake thanks
 
Hivi gym ina kazi gani???au huo unene wa aina gani unataka kupunguza???
 
Dawa ya Kupunguza Unene jaribu kila siku kula Nanaa kwa lugha ya kiingereza (Mint). Na kunywa Siki ya Apple Vinegar kijiko kimoja kila siku kabla ya kula kitu Asubuhi na kabla ya kulala Usiku utakonda tu inshallah jaribu kutumia hiyo dawa kwa muda wa Miezi mitatu utakuja kuniambia matokeo yake Unen wako utapotea mbali.
 
Nahitaji msaada wa jinsi ya kuweza kupunguza uzito na unene,
Helpppppp

Msolo, ili upate ushauri wa kitaalamu naomba umri wako kwa Kg, urefu wako kwa CM kama haitakukwaza, lete hizo habari mbili nikupe ushauri.
 
Kunywa sana Green tea ikiwa ya moto sana without sugar.

I can assure you unapungua within a month kama utabadili mlo wako, kula sana veggies, fruits na maji.

samaki na kuku pouwer. Usiguse nyama ya ng'ombe.
 
Jaman habari ya leo, natumain mko pouwa. Naomba msaada nifanye nin kupunguza tumbo/kitambi? Nashukuru kwa mawazo yenu.
 
zamani nlidhani tumbo langu ni la bia, nikahamia kwenye konyagi, nikipiga ile kitu nakula kama nimeambiwa kesho madukani kutakuwa hamna chakula tena.
 
Back
Top Bottom