Dawa kwa ajili ya Kisukari?

Mbogela

JF-Expert Member
Jan 28, 2008
1,384
257
Mkuu mheshiwa JF Doctors,
Nimeambiwa kuwa mgonjwa wa Kisukari (Diabetes Mellitus) Type I anahitaji kupewa dawa kwa kuchomwa sindano ya Insulini mara kwa mara.

Shida yangu ni kuwa kuna minong'ono inasema kuwa dawa hii hutokana na insulin ya Nguruwe. Swali langu kwenu Je ni kweli?

Na kama ni kweli na kama ni kweli wagonjwa huambiwa asili ya hii dawa kabla hawajapewa kutumia? Na kama nimeambiwa na mimi nikiamua kuikataa (kwasababu zangu mwenyewe nje ya sabababu za kiafya km Vile za kidini)

Je kuna tiba mbadala?
 
Kama unaumwa kweli nakushauri unywe dawa as long as wataalam wamethibitisha ibora wake. By the way kimtiacho mtu najisi hutoka ndani mwake.
 
Hicho kisukari ni life style desease,hivyo unaweza kupona kwa change in lifestyle.Kawaida excessive fat in blood stream leads to terminate proper sensitivity of insullin (pancrease hormone which regulates sugar standards).

Mimi nimesaidia watu wengi wenye tatizo hilo kwa kutumia simple remedies (herbs).

Hata UKIMWI,nimesaidia watu kwa njia ya ku feed virus by more sucrose hence free cell cunsuption,add cd4 by certain herbs,be total vegetarian in order to avoid amino acids where they can multiplicate.This deal lead virus to die by its life span which is no longer than 3yrs.
 
Asante lakini kabla sijaenda kwenye second option je ni kweli source ya insulin itumikayo kwenye matibabu inatokana na insulin ya Nguruwe?

Pia nasikia Mbona Diabetes Mellitus Type I hawezi kutibiwa/kurekebishwa kwa kubadiri life style na diet?
 
Back
Top Bottom